mchotamaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 219
- 66
CCM mwaka 2005/2010 Na 2010/2015 wakati Mh.Kikwete anagombea Uraisi kukitolewa hoja ya kufanya Mdahalo kwa wagombea Uraisi kati ya Mh.Lipumba Wa CUF,Mh.Slaa Wa Chadema Na Nh.Kikwete Wa CCM.Chama cha Mapinduzi kilikataa Mh. Kikwete kushiriki.
Kituo cha Redio TBC chini ya Tido Mhando kilikuwa kinafanya midahalo kwa wagombea mbalimbali Wa vyama kwa kuwakutanisha CCM iliwapiga marufuku wagombea wake kushiriki.
Hatimaye TIDO MHANDO aliondolewa TBC .Swali kwanini Leo CCM inataka mdahalo!Tunawashauri UKAWA WASISHIRIKI waendesha Midahalo wote wamenunuliwa Na CCM kama ilivyofanya kwa TWAWEZA.
UKAWA MSISHIRIKI