CCM natabiri Paskal Mayala kugombea ubunge 2020 kupitia...

Torero

Senior Member
Dec 22, 2017
122
138
Ndugu, nimeona leo bora niwaelezee utabiri wangu. Huu ya kwamba Mwana Body Paskali atagombania Ubunge katika moja ya majimbo Tanzania Bara kupitia CCM na atapitishwa na hatimae kushinda Uchaguzi.

Hii ni Elimu maalum ya utabiri ambayo Tanzania tunayo watu wachache sana.

Kwa Utabiri huu Paskal Mayala usinisahau japo kunialika kuja Dodoma kunywa kahawa walau siku moja!
 
utabiri wako uko general sana kwa sababu kila mtanzania mwenye sifa zifuatazo anaweza kugombea ubunge

1. mwenye umri wa miaka 21 au zaidi
2. asiye na rekodi ya uhalifu miaka 5 kabla ya kugombea.
3.ajue kusoma na kuandika

kwa Pascal Mayalla kuwa na sifa tajwa hapo juu, ana sifa, vigezo na nafasi za kuwa mbunge. tupe sababu specific za kutetea utabiri wako kama atagombea kupitia jimbo fulani, atashindana na fulani n.k
 
Tawire
 
Huu utakuwa siyo utabiri ndugu . Utakuwa ni Unabii. Mim nimetabiri siyo Nabii . Na Utabiri ni fani Maalum kwa watu maalum
 
Ndugu, nimeona leo bora niwaelezee utabiri wangu. Huu ya kwamba Mwana Body Paskali Atagombania Ubunge katika moja ya Majimbo Tanzania Bara kupitia CCM na Atapitishwa na hatimae kushinda Uchaguzi.
Hii ni Elimu maalum ya Utabiri ambayo Tanzania tunayo watu wachache sana.
Kwa Utabiri huu Nd. Paskal Mayal usinisahau japo kunialika kuja Dodoma kunywa kahawa walau siku moja!
Na akitokea uskumani lazima jiwe ampe wizara.
 
Ndugu, nimeona leo bora niwaelezee utabiri wangu. Huu ya kwamba Mwana Body Paskali Atagombania Ubunge katika moja ya Majimbo Tanzania Bara kupitia CCM na Atapitishwa na hatimae kushinda Uchaguzi.
Hii ni Elimu maalum ya Utabiri ambayo Tanzania tunayo watu wachache sana.
Kwa Utabiri huu Nd. Paskal Mayal usinisahau japo kunialika kuja Dodoma kunywa kahawa walau siku moja!
Anadeserve kuwa Mbunge hatimaye waziri naunga Mkono hoja
 
Ndugu, nimeona leo bora niwaelezee utabiri wangu. Huu ya kwamba Mwana Body Paskali Atagombania Ubunge katika moja ya Majimbo Tanzania Bara kupitia CCM na Atapitishwa na hatimae kushinda Uchaguzi.
Hii ni Elimu maalum ya Utabiri ambayo Tanzania tunayo watu wachache sana.
Kwa Utabiri huu Nd. Paskal Mayal usinisahau japo kunialika kuja Dodoma kunywa kahawa walau siku moja!
Ni kweli anaandaliwa kulitwaa jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro!
 
Ndugu, nimeona leo bora niwaelezee utabiri wangu. Huu ya kwamba Mwana Body Paskali Atagombania Ubunge katika moja ya Majimbo Tanzania Bara kupitia CCM na Atapitishwa na hatimae kushinda Uchaguzi.
Hii ni Elimu maalum ya Utabiri ambayo Tanzania tunayo watu wachache sana.
Kwa Utabiri huu Nd. Paskal Mayal usinisahau japo kunialika kuja Dodoma kunywa kahawa walau siku moja!
Misungwi siyo ?
 
Back
Top Bottom