CCM: Nani akienda Igunga atalikomboa jimbo?

CCM: Nani akienda Igunga atalikomboa jimbo?

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Katibu wa Uchumi na Fedha Taifa, Mwigulu Madelu kuongoza kampeni katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Igunga
 
nauliza nani akienda igunga jimbo litarudi CCM? Maana kwajinsi makada wote walivyo na uwezo sijui nimpendekeze nani.
CCM imekamilika utadhani Barcelona!

Nilikuwa nafikiria sijui niende nikachukuwe (maana huko hakuna kugombea ukitokea CcM) tuu huko. halafu JF muanze kuniita Mheshimiwa FaizaFoxy.
 
Mshauri JK aachie ngazi ya uraisi akakombo Igunga
 
nauliza nani akienda igunga jimbo litarudi CCM? Maana kwajinsi makada wote walivyo na uwezo sijui nimpendekeze nani.<br />
CCM imekamilika utadhani Barcelona!
<br
Mheshimiwa Mzee SABODO.
 
Back
Top Bottom