Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,514
Rostamnauliza nani akienda igunga jimbo litarudi CCM? Maana kwajinsi makada wote walivyo na uwezo sijui nimpendekeze nani.
CCM imekamilika utadhani Barcelona!
Rostamnauliza nani akienda igunga jimbo litarudi CCM? Maana kwajinsi makada wote walivyo na uwezo sijui nimpendekeze nani.
CCM imekamilika utadhani Barcelona!
Uelewa wa IGUNGA kwa wananchi bado mdogo kuna wajinga wengi sana na ndiyo mtaji wa CCM siku zote.
nauliza nani akienda igunga jimbo litarudi CCM? Maana kwajinsi makada wote walivyo na uwezo sijui nimpendekeze nani.
CCM imekamilika utadhani Barcelona!
<br />
<br /
Nakugongea tano Mkuu. Yaani sijui watu wa Igunga wana nini na ngozi nyeupe[iheme i s/QUOTE]
nasikia tip tip yule mwarabu koko dalali wa biashara ya utumwa na pembe za ndovu alioa pale. wanamuenzi shemeji yao mpaka leo
<br />
<br />
Nakugongea tano Mkuu. Yaani sijui watu wa Igunga wana nini na ngozi nyeupe
Tatizo sio CCM ni hao wapinzani kuweka wagombea wasio na sifaKwa navowajua CCM hata Waweke JIWE litashda
mwarabu au shombeshombe