Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
Chadema hawakwepi katika hilo.Nini kipo nyuma ya kifo cha Chacha Wangwe?
Mkuu songoro,Tuaipenda sana CCM kwa kuwa Mnaichukia sana na Siku Mkiipenda Sie Tutaichukia!
mkuu songoro,
hii nayo kali nimeipenda sana wambie wasikie uchumbe wako wataupata.
CCM is like MTN everywhere you go..
Wabunge 260+ hizo ni kaya ngap??
Kuichukia CCM ni sawa na kuchukia kwann mimea ina rangi ya kijani..
Mie nilidhani Allah ndiye anayetufanya tuishi, kumbe CCM? Mkuu hii ajira yako inalipa eh!Ccm ni sawa na baba na mama yako utaipenda tu imekulea na sasa inakufanya uishi.
Hakuna kitu ninchokichukia kama ccm na serikali yake.watetezi wakubwa wa mafisadi,wezi,wabakaji,majangili,mauza unga nk.Eti saiz yamekuwa matetezi ya zitto,manafiki na mash.nzi makubwa.Zitto aliambiwa kuwa ccm watakutetea? Hata aibu hayaoni?
Tunaomba mtuambie vifo vya watu hawa vimesababishwa ba nini.
1.Daud Balali
2.Dr.Mvungi
3. Kolimba
4. Amina chifupa
5.Daudi mwangosi nk
pia yaliyowakuta watu hawa,akina nani wahusika wakuu
1.Dr.ulimboka
2.Dr.mwakyembe
3.kibanda
4.wahusika wakuu wa bomu Arusha nk
vile vile waasisi wakuu wa udini,ukabila nk.Ccm acheni ujinga na upumbavu hii nchi siyo ya kwenu,ni ya watz.Kutufanya wananchi kama watumwa wenu tumechoka.Tumieni tu dola kama silaha ya kuwalinda madarakani lakini ipo siku tutashika mapanga,shoka,mawe,majembe mafyekeo kukabiliana na utawala wa kibabe,kidhalimu,kinafiki na kikoloni.
Suala la zzk mmelivaliwa viatu kama linawahusu,kwa nini mnamtetea sana huyo mnafiki,msaliti mwenzenu? Kama ni ukanda,mbona hamsemi kuvuliwa uongozi kwa mwigamba na kitila? Kama ni udini kitila na mwigamba ni dini gani? Na kama ni ukabila mwigamba na kitila ni kabila gani? Na kama mnabeza uamuzi wa kamati kuu,mnataka maamuzi yatoke kwenu ninyi mafisadi au wabakaji?
Siwapendi na ninawachukia sana bora kufa leo hii kuliko kuendlea kutwaliwa na wezi,majangili,mafisadi,wauza unga nk
Ccm ni sawa na baba na mama yako utaipenda tu imekulea na sasa inakufanya uishi.
Hawajibu hoja wanabaki kusema ccm ni baba na mama,wapum.bavu wakubwa,kama Nyerere alisema ccm si mama yangu leo hii majin.ga haya yana sema mama au babaWewe acha kuzalilisha wazazi!! Kumbe ndo huna mawazo kiasi hiki. Mleta mada nipo nyuma yako
naona leo umevimbiwa vya kutosha kabisa. Tumeshaijua janja yenu chadema, chama chenu ni kichafu zaidi ya CCM, hatari zaidi ni chama cha kikabila na ukaskazini ni mwingi sana.Hoja ulizoleta ni za kitoto na kipuuzi mno, unaweza kudhibitisha kwamba hao wote walifanyiziwa na ccm? Akili matope kweli na kaburi lenu liko tayari tutasahau ngonjera zenu
CCM is like MTN everywhere you go..
Wabunge 260+ hizo ni kaya ngap??
Kuichukia CCM ni sawa na kuchukia kwann mimea ina rangi ya kijani..