CCM naichukia sana tena sana

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Hakuna kitu ninchokichukia kama ccm na serikali yake.watetezi wakubwa wa mafisadi,wezi,wabakaji,majangili,mauza unga nk.Eti saiz yamekuwa matetezi ya zitto,manafiki na mash.nzi makubwa.Zitto aliambiwa kuwa ccm watakutetea? Hata aibu hayaoni?
Tunaomba mtuambie vifo vya watu hawa vimesababishwa ba nini.
1.Daud Balali
2.Dr.Mvungi
3. Kolimba
4. Amina chifupa
5.Daudi mwangosi nk
pia yaliyowakuta watu hawa,akina nani wahusika wakuu
1.Dr.ulimboka
2.Dr.mwakyembe
3.kibanda
4.wahusika wakuu wa bomu Arusha nk
vile vile waasisi wakuu wa udini,ukabila nk.Ccm acheni ujinga na upumbavu hii nchi siyo ya kwenu,ni ya watz.Kutufanya wananchi kama watumwa wenu tumechoka.Tumieni tu dola kama silaha ya kuwalinda madarakani lakini ipo siku tutashika mapanga,shoka,mawe,majembe mafyekeo kukabiliana na utawala wa kibabe,kidhalimu,kinafiki na kikoloni.
Suala la zzk mmelivaliwa viatu kama linawahusu,kwa nini mnamtetea sana huyo mnafiki,msaliti mwenzenu? Kama ni ukanda,mbona hamsemi kuvuliwa uongozi kwa mwigamba na kitila? Kama ni udini kitila na mwigamba ni dini gani? Na kama ni ukabila mwigamba na kitila ni kabila gani? Na kama mnabeza uamuzi wa kamati kuu,mnataka maamuzi yatoke kwenu ninyi mafisadi au wabakaji?
Siwapendi na ninawachukia sana bora kufa leo hii kuliko kuendlea kutwaliwa na wezi,majangili,mafisadi,wauza unga nk
 
Tunaipenda sana CCM kwa kuwa Mnaichukia sana na Siku Mkiipenda Sie Tutaichukia!
 
Ccm ni sawa na baba na mama yako utaipenda tu imekulea na sasa inakufanya uishi.
 
CCM is like MTN everywhere you go..

Wabunge 260+ hizo ni kaya ngap??

Kuichukia CCM ni sawa na kuchukia kwann mimea ina rangi ya kijani..
 
Ccm siipendi kwa 7bu wote ni wezi na hakuna wakumkanya mwenzake yaani ukoo wa ccm ni jehanamu tu kama unabisha njoo na evidence kukanusha aliyoyaandika mleta mada.otherwise wote hamna akili za kuchanganua mambo ila.........
 
sio peke yako ccm imebaki ya koo tano tuu ndio wenye maamuzi ya nani awe CC au mkoa au wilaya kama mwenyekiti nani agombee uspika au kamati ni madikteta hao haija pata kutokea
 
CCM is like MTN everywhere you go..

Wabunge 260+ hizo ni kaya ngap??

Kuichukia CCM ni sawa na kuchukia kwann mimea ina rangi ya kijani..

Kweli MYN kampuni ya simu inayonyonya wananchi jasho lao mpaka damu inawatoka ,
 
Angalia magamba yanavyotoa povu lisopevuka.,Hoja hawana ni mboyoyo mingi,wengine hawana haya hadi leo bado waisingizia chadema kifo cha Kamanda Chacha yaelekea sasa wanataka kumzimisha na Zito waisingizie tena chadema kama walivyozoea kwani" washazoea vya kunyonga vya kuchinja hawaviwezi",si tunaona wanavyoshupalia zito,zito!hawajui kwa chadema sio zito tena ni nyepesi.
 
Hivi kweli hebu tukumbushane bila jazba wala ushabiki: Yale maisha bora tuliyoahidiwa yako wapi?
 
Hakuna kitu ninchokichukia kama ccm na serikali yake.watetezi wakubwa wa mafisadi,wezi,wabakaji,majangili,mauza unga nk.Eti saiz yamekuwa matetezi ya zitto,manafiki na mash.nzi makubwa.Zitto aliambiwa kuwa ccm watakutetea? Hata aibu hayaoni?
Tunaomba mtuambie vifo vya watu hawa vimesababishwa ba nini.
1.Daud Balali
2.Dr.Mvungi
3. Kolimba
4. Amina chifupa
5.Daudi mwangosi nk
pia yaliyowakuta watu hawa,akina nani wahusika wakuu
1.Dr.ulimboka
2.Dr.mwakyembe
3.kibanda
4.wahusika wakuu wa bomu Arusha nk
vile vile waasisi wakuu wa udini,ukabila nk.Ccm acheni ujinga na upumbavu hii nchi siyo ya kwenu,ni ya watz.Kutufanya wananchi kama watumwa wenu tumechoka.Tumieni tu dola kama silaha ya kuwalinda madarakani lakini ipo siku tutashika mapanga,shoka,mawe,majembe mafyekeo kukabiliana na utawala wa kibabe,kidhalimu,kinafiki na kikoloni.
Suala la zzk mmelivaliwa viatu kama linawahusu,kwa nini mnamtetea sana huyo mnafiki,msaliti mwenzenu? Kama ni ukanda,mbona hamsemi kuvuliwa uongozi kwa mwigamba na kitila? Kama ni udini kitila na mwigamba ni dini gani? Na kama ni ukabila mwigamba na kitila ni kabila gani? Na kama mnabeza uamuzi wa kamati kuu,mnataka maamuzi yatoke kwenu ninyi mafisadi au wabakaji?
Siwapendi na ninawachukia sana bora kufa leo hii kuliko kuendlea kutwaliwa na wezi,majangili,mafisadi,wauza unga nk

naona leo umevimbiwa vya kutosha kabisa. Tumeshaijua janja yenu chadema, chama chenu ni kichafu zaidi ya CCM, hatari zaidi ni chama cha kikabila na ukaskazini ni mwingi sana.Hoja ulizoleta ni za kitoto na kipuuzi mno, unaweza kudhibitisha kwamba hao wote walifanyiziwa na ccm? Akili matope kweli na kaburi lenu liko tayari tutasahau ngonjera zenu
 
Ayatollah mtei + chaggas party, janja yenu kama nyani ie kula mahindi mabichi, hamna sera ni upuuzi tu
 
Wewe acha kuzalilisha wazazi!! Kumbe ndo huna mawazo kiasi hiki. Mleta mada nipo nyuma yako
Hawajibu hoja wanabaki kusema ccm ni baba na mama,wapum.bavu wakubwa,kama Nyerere alisema ccm si mama yangu leo hii majin.ga haya yana sema mama au baba
 
naona leo umevimbiwa vya kutosha kabisa. Tumeshaijua janja yenu chadema, chama chenu ni kichafu zaidi ya CCM, hatari zaidi ni chama cha kikabila na ukaskazini ni mwingi sana.Hoja ulizoleta ni za kitoto na kipuuzi mno, unaweza kudhibitisha kwamba hao wote walifanyiziwa na ccm? Akili matope kweli na kaburi lenu liko tayari tutasahau ngonjera zenu

jibu hoja mwizi wewe
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom