Migogoro yote inayoendelea ni uzembe na upuuzi wa ccm

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Kama serikali ya ccm wangekuwa wanatekeleza wajibu wao kusingekuwa na haja ya kutafuta mbinu chafu za kuisambaratisha chadema.
Migogoro inayoendelea ktk vyama vya siasa,vyama vya wakulima,vyama vya wafanykazi nk chanzo ni upuuzi na uzembe wa ccm kutekeleza ilani yake pamoja na majukumu mengine kwa watz.
Wamejikita kutafuta mbinu chafu za kuua upinzani kwa sababu ya uzembe na upuuzi wa ccm na serikali yake.Huku wakisahau kushughulikia wala rushwa,wabakaji,wauza unga,mafisadi,majangili nk,mambo ambayo wakiyashughulikia utawapa credibility kwa watz.Zaidi wamejikita kutafuta suluhu kwa migogoro ya CHADEMA huku matatizo yao kama kujivua gamba yakiwashinda.
 
Sijui kama upo sawa haya matusi huwa hayajengi utaishia kutukana tu kwa hasira zako na mihemuko ya kisiasa unavyotumwa na wazee wako.
 
Back
Top Bottom