Sababu za kusema CCM haijafanya kitu ni hizi hapa

cilla

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
369
296
TUKISEMA CCM HAIJAFANYA CHOCHOTE TUNAMAANA ZIFUATAZO;

1; Imeshindwa kutekeleza ahadi zake kikamilifu hata nusu haijafikia.Tangu awamu ya kwanza sera ya za miaka yote imekuwa adui watatu UJINGA,MARADHI,NA UMASKINI.Leo hii elimu ya watu wazima imekufa wasiojua kusoma wanaongezeka na elimu yetu inashuka.Umaskini unaongezeka kwa kasi badala ya kupungua.KIpindupindu na malaria bado nitatizo kubwa huku wakijua malaria hayaondoki kwakugawa net na kipindupindu hakizuiliwi kwakufanya usafi anapokuja obama.

2; Swala la usafiri wa reli limeishinda CCM badala yake inaagiza mabehewa na vichwa vibovu.Reli ya Tanga Arusha na mikoa ya kusini iko wapi?

3; Wameshindwa kuwa goodplaner wa miji na makazi ya watu.Dar inaendelea kujengeka ovyo na miundombinu ovyo.Jiji chafu kuliko majiji yote Afrika mashariki.

4; Nchi iliyojaliwa rasilimali lakini tumeshindwa kulifufua shirika la ndege la Tanzania ATC tunazidiwa na Rwanda nchi ndogo iliyokuwa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe.Sisi hata ndege mbili zimetushinda

5; Pamoja nakujaliwa vyanzo vya maji ardhini na katika mito na maziwa na bahari bado tunashida ya maji kwakiasi kikubwa.Nenda Dodoma makao makuu ya nchi,nenda Mkoa wa Simiyu,Singida na baadhi ya wilaya mbalimbali nitatizo kubwa.

6; Udini na Ukabila unakuwa kwa kasi.Leo hii kuna watu wanazunguka nchi nzima wakieneza dini kwa kutukana na kukashifu dini zingine wanaangaliwa tu.Hivi sasa kuna wahubiri wengi wanatoa CD na DVD zakuchochea utengano wakidini lakini nchi kimya na wahusika wanajulikana.Na kwa umaskini huu wengi watanunuliwa kufanya matukio ya kigaidi.Watu wengine wamekuwa na chuki za ajabu kwa wachaga kila kitu wachaga sio wenyewe wanajisikiaje,hii ni hatari japo wakuu wanaliangalia kama propaganda inayowasaidia.
Tumeshuhudia mafisadi kibao ambao hata sio wachaga.Lakini sisi tunalishwa maneno na wanasiasa.

7; Kufeli kwa Usalama wetu wa Taifa,Leo hii magogo,wanyama na pembe za ndovu zinasafirishwa kinyemela nj
 
Ni watu wachache sana wa ukawa ya sasa wenye hoja, wewe mleta uzi ni mmoja wapo wa hao wachache! Wengine wanalalamika kwamba barabara hamna kabisa, mara hamna kazi alafu unakuta anachagua kazi au yupo tu kijiweni.
Kwa point hizi nakuunga mkono, ILA SIO LOASA WA KUJA KUREKEBISHA HILI NA DEFINATELY SIO UKAWA YA CHADEMA HII YA SASA.
 
Ni watu wachache sana wa ukawa ya sasa wenye hoja, wewe mleta uzi ni mmoja wapo wa hao wachache! Wengine wanalalamika kwamba barabara hamna kabisa, mara hamna kazi alafu unakuta anachagua kazi au yupo tu kijiweni.
Kwa point hizi nakuunga mkono, ILA SIO LOASA WA KUJA KUREKEBISHA HILI NA DEFINATELY SIO UKAWA YA CHADEMA HII YA SASA.
Kwa hiyo kama si LOWASSA wa CHADEMA wa kuyarekebisha hayo ni nani ????? ?(ccm,act au tlp)
 
Mitaa Na vitongoji vya mjini vimejaa taka, migration to urban imeplus,wananchi Wa mjini hawana id ,hata wajumbe hawajui wanaishi Na nani
 
tukisema ccm haijafanya chochote tunamaana zifuatazo;

1; imeshindwa kutekeleza ahadi zake kikamilifu hata nusu haijafikia.tangu awamu ya kwanza sera ya za miaka yote imekuwa adui watatu ujinga,maradhi,na umaskini.leo hii elimu ya watu wazima imekufa wasiojua kusoma wanaongezeka na elimu yetu inashuka.umaskini unaongezeka kwa kasi badala ya kupungua.kipindupindu na malaria bado nitatizo kubwa huku wakijua malaria hayaondoki kwakugawa net na kipindupindu hakizuiliwi kwakufanya usafi anapokuja obama.

2; swala la usafiri wa reli limeishinda ccm badala yake inaagiza mabehewa na vichwa vibovu.reli ya tanga arusha na mikoa ya kusini iko wapi?

3; wameshindwa kuwa goodplaner wa miji na makazi ya watu.dar inaendelea kujengeka ovyo na miundombinu ovyo.jiji chafu kuliko majiji yote afrika mashariki.

4; nchi iliyojaliwa rasilimali lakini tumeshindwa kulifufua shirika la ndege la tanzania atc tunazidiwa na rwanda nchi ndogo iliyokuwa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe.sisi hata ndege mbili zimetushinda

5; pamoja nakujaliwa vyanzo vya maji ardhini na katika mito na maziwa na bahari bado tunashida ya maji kwakiasi kikubwa.nenda dodoma makao makuu ya nchi,nenda mkoa wa simiyu,singida na baadhi ya wilaya mbalimbali nitatizo kubwa.

6; udini na ukabila unakuwa kwa kasi.leo hii kuna watu wanazunguka nchi nzima wakieneza dini kwa kutukana na kukashifu dini zingine wanaangaliwa tu.hivi sasa kuna wahubiri wengi wanatoa cd na dvd zakuchochea utengano wakidini lakini nchi kimya na wahusika wanajulikana.na kwa umaskini huu wengi watanunuliwa kufanya matukio ya kigaidi.watu wengine wamekuwa na chuki za ajabu kwa wachaga kila kitu wachaga sio wenyewe wanajisikiaje,hii ni hatari japo wakuu wanaliangalia kama propaganda inayowasaidia.
Tumeshuhudia mafisadi kibao ambao hata sio wachaga.lakini sisi tunalishwa maneno na wanasiasa.

7; kufeli kwa usalama wetu wa taifa,leo hii magogo,wanyama na pembe za ndovu zinasafirishwa kinyemela nj

ccm out!over
 
Duniani kote katika mpira wa miguu makocha bora na maarufu hufukuzwa kazi au kutoongezewa mkataba pale timu zao zinapokuwa na matokeao mabaya au kutofanya vizuri. CCM ni kocha mbovu ambaye tumekuwa naye kwa miaka 54 sasa na timu yetu mama Tanganyika haijafanya vizuri au kutuletea matokeo mazuri. Tunahitaji kubadilisha kocha na kumleta kocha mwingine kutoka Ukawa ambaye tuna hakika atatupeleka kombe la dunia.
 
Ni watu wachache sana wa ukawa ya sasa wenye hoja, wewe mleta uzi ni mmoja wapo wa hao wachache! Wengine wanalalamika kwamba barabara hamna kabisa, mara hamna kazi alafu unakuta anachagua kazi au yupo tu kijiweni.
Kwa point hizi nakuunga mkono, ILA SIO LOASA WA KUJA KUREKEBISHA HILI NA DEFINATELY SIO UKAWA YA CHADEMA HII YA SASA.

Ungekuwa na uwezo wa kujua hoja iliyochanganuliwa vizuri au vibaya usingeshindwa kuandika hata jina la Edward Lowasa
 
lowasa ana mchango mkubwa kwenye hali mbaya tuliyonayo. akishika urais atazidi kuharibu kila kitu. kwahali yake pia aliyonayo ni bora apumzike. alichokifanyia nchi hii kinatosha.

tanzania hii inahitaji sio tu rais mwadilifu, mchapakazi na mwenye kuona mali bali pia mwenye afya njema
 
Najiuliza kwa nini mengi yanayofanyika sasa hivi hayakufanyika hapo awali?
Swali:
Nikuwa Watangulizi wa Rais hawakuwa na utashi?
 
Kifupi mfano kuhamia Dodoma kulhitaji budget kubwa lakini sasa wamekuja na one single solution kutumia Jeshi!Huu ni mfano yapo mengi nayaona tu!
Ktk watu wajinga ni vijana wa Lumumba.mimi ni Truck 3 na niliomba hiyo tenda ya kusafirisha mizigo ya wizara Dodoma nalipa kodi mapato sumatra nimeajiri kazi inapewa jesh ni akiri hiyo basi watwambie tuuze magari.au serikali nayo inafanya biashara ya Transportation?
 
Back
Top Bottom