CCM - NaChukua Changu Mapema, nasepa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM - NaChukua Changu Mapema, nasepa!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mag3, Apr 24, 2012.

 1. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  chukuachako.jpg

  Adui nambari wani wa Taifa.​
   
 2. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapo umenena aisee na ni itikadi ya chama chetu kuwa ukiingia inatakiwa uchote mapema kila upatapo mwanya kidogo inatakiwa utumie mwanya huo kuiba pesa na hakuna mtu atakayekufanya lolote manake sisi wote tulioko huku ccm ni waizi
   
 3. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  wanasema wanajivua magamba wakati hata ukiyamwagia maji ya moto hayavuki
   
Loading...