Hivi ni kweli CCM imekosa viongozi wa dini wa kuomba neema ya Mungu katika ufunguzi wa kampeni leo??
Mwamposa amejitahidi kusimama kama mtumishi wa Mungu, Sala/ Dua amezielekeza vizuri.
Yule shekhe na Hananja. Dua/ Sala zao hadi nimecheka. Kenani Kihongosi nae alijisahau kama ni Sala eti akaamua kupiga makofi kuipongeleza iliyotambulishwa sala kutoka kwa Hananja.
CCM wanatuletea maigizo kwenye uongozi hadi kwenye maswala ya kiimani.
Mungu fanya jambo.