CCM na wazee, CHADEMA na vijana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM na wazee, CHADEMA na vijana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rweye, Sep 25, 2011.

 1. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,025
  Likes Received: 3,051
  Trophy Points: 280
  Siamini ninachoendelea kukishuhudia kupitia taharifa ya saa2 ITV kuhusiana na mchakamchaka wa Igunga,ndugu zangu tokea juzi CCM inaonekana kukumbwa na uhaba mkubwa wa watu na kwa sasa mikutano yao inaudhuriwa na akina mama wazee pamoja na watoto wa nursery tofauti na wenzao CDM wanaoonekana kujawa na umati mkubwa wa watu kuanzia akina mama,mababa na hasahasa rika vijana wenye kuwa na hamasa kila dakika huku bashasha zao zikionesha dhairi kuikubali CDM

  Nimejiuliza sana pasipokupata jawabu kwenye hili..nawasilisha wakuu,hebu tusaidiane
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nimeshtuka kumuona Mzee Philip Mangula leo TBC1 akipiga debe huko Igunga! Huyu mzee anajiingizaje kwenye hizi siasa uchwara? Si alikuwa na mashamba ya kulima kwa nini asijishughulishe na mambo ya maana badala ya hii aibu anayotaka kujizolea? Nani kamamwambia kuwa ana ushawishi kwa watanzania walioguzwa wauza viberiti barabarani na utawala mbovu wa ccm. Ni vizuri walio huko Igunga wamuulize anajua nini kuhusu EPA!
   
 3. p

  plawala JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna marefu yasiyo na mwisho,watu walishaichoka CCM,hata wenyewe wanalitambua hilo,ndio maana wanatumia rafu kubana wapinzani Igunga badala ya kujenga hoja
   
 4. M

  Makupa JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu unaweza kutueleza walao kwa kifupi hizo rafu za kufikirika
   
 5. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  na bado wakuuu
  moto u njiani
  pata picha products za 4 years to come from shule za kata, vyuo nk
   
 6. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ngoja wakusanyane ili wavune aibu yao
   
 7. C

  Crux Yar-die Member

  #7
  Sep 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM watavuna walichopanda muda si mrefu
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  chama kimezeeka na wanachama wake lazima wawe wazee
   
 9. N

  NGEDENGE Senior Member

  #9
  Sep 25, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lichama limezeeka mpaka kelo
   
 10. e

  ebrah JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni chama cha waliokata tamaa na wasiojua wanatakiwa wafanye nini, nfdo mana unakuta wazee wao wameshajikatia tamaa ya kuishi wanangoja siku ya kufa, na pia watoto kwani hawajui kesho yao ipoje!
   
 11. only83

  only83 JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Nimeamua kuacha siasa uchwara zinazoendeshwa na watu wasionitakia mema,ambao wamegeuza dhana ya kujivua gamba kama ambavyo mwenyekiti wetu JK alivyotaka iwe>>>>>Rostam
   
 12. Kijuche

  Kijuche JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wafa maji hao. Hizo ni dalili tosha.
   
 13. magnificent

  magnificent Senior Member

  #13
  Sep 26, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila kizazi na chama chake. Chadema ni chama cha kizazi cha sasa.
   
 14. magnificent

  magnificent Senior Member

  #14
  Sep 26, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lakini ht wazee siku hizi hawaitaki ccm, baba yangu ni mzee hataki kusikia habari za ccm kabisa.
   
 15. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kelele mwisho tarehe 2.10.2011, ndipo tutajua mbichi ipi? na mbivu ipi? kelele na kubwabwaja hapa jamii forum hawakusikii watu wa Igunga.
   
 16. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,980
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  CCM ni mfa maji haishi kutapa tapa, Igunga ni yard stick ya muonekano wa siasa za TZ zikoelekea. Majibu ya Zambia si wameyapata, kila kitu kina mwisho wake!!!!!!!
   
 17. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,980
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Utakoma mwaka huu shuhudia unavyo zama na chama chako!!!!!!!!
   
 18. p

  pstar01884 Senior Member

  #18
  Sep 26, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ngoma inogile. MAGAMBA kushney. Zama zao zinayoyoma.
   
 19. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wazee hawaiwezi kasi ya vijana ambao wengi wanatamani kuona mabadiliko na unafuu wa maisha. Hawaridishwi na sera za kizamani; eti Ofisa tu ndiye anayepaswa kuvaa suruari wengine wavae kaptula. Ati mwalimu ndiye mwenye radio kijijini na watu wote kijijini wapaswa kwenda kwa mwalimu au mwenyekiti wa kijiji kusikiliza taarifa za habari. Ati ukitaka kunywa chai mpaka uende mjini hotelini.
   
 20. Mcheza Karate

  Mcheza Karate JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 691
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Ah! Naungoja mwisho wa CCM kwa hamu.
   
Loading...