CCM na Wassira, tuelezeni Nchimbi yuko wapi?

CCM na Wassira, tuelezeni Nchimbi yuko wapi?

Ni nani hawataki?,wenye wajibu wa kujua EN alipo ni nani?. Je umemsikia ndugu yeyote,jamaa yeyote,rafiki yeyote au mwananchi yeyote akimuulizia?.

Mwenye jukumu la kuujulisha umma EN yuko wapi ni nani?
Je umesikia media yoyote ikisema imefika nyumbani kwa EN kumjulia hali?

No one amemuulizia EN, no mainstream media imefanya any followup ya his whereabouts!
Tukisema sisi Watanzania ni mazuzu na media yetu ni media ya kizuzu,ni tukuwa tunaonewa au ni halali yetu?

P
Mkuu hatujafikia huko unakoenda.
Ni jamii zisizostaarabika tu ndiyo zinafumbia macho kwa ndugu, rafiki, kiongozi au hata mwanasiasa ambaye ametoweka mbele ya macho ya dunia bila maelezo.
Leo Paschal Mayala, mtu ambaye sikujui kwa sura, lakini ukinyamaa hata ukisema mwenyewe sasa umefunga mdomo, bado wananch na umma utataka kujua kilichokusibu.
Nia ni kuona jinsi ya kusympathise na kusaidia hata kama ni kwa mawazo tu.
Hii ndiyo nature ya binadamu aliyeumbwa na Mungu.
 
Back
Top Bottom