Utamjua mpinzani wa kweli kutokana na namna CCM inavyotumia nguvu nyingi kupita kiasi kupambana naye. naomba
hata wana CCM wenyewe kurudi nyuma na kujiuliza kama kweli madai ya CCM kuwaletea wananchi ni ya ukweli kuna haja
gani ya kutumia nguvu nyingi hivi ili kushinda uchaguzi ?? wananchi wenyewe wangeyaona maendeleo na kuwapgia kura
warudi tena madarakani jawabu la haraka haraka ni kuwa hayo maendeleo CCM inayoyasema ni Questionable na ndio
maana nguvu ya kupita kiasi inatumika. Swali langu kwa wana ccm kwanini CCM isiwatumikie wananchi kwa uaminifu ili
isilazimike kutumia nguvu kupita kiasi kwenye chaguzi ndogo kwani ni AIBU kwa chama kama CCM kutumia mabilioni ya
shillingi kwa ajili ya uchaguzi mdogo wakati wanashindwa kununua madawati ya wanafunzi huko Igunga ambapo asimilia
80% ya shule za misingi hazina madawati.