Richmond umeisahau?
Hapo sasa!
Shule ulienda kusomea ujinga
Richmond umeisahau?
Hapo sasa!
ccm sio fisadi watu ndio mafisadi wakiongozwa na lowasa na mbowe kwa kuficha pesa nje
Aliyeleta hii mada anaitwa Kimario ni mtu wa Kilimanjaro anakotoka Mbowe huyo kazi yake ni kusifia Mbowe na CHADEMA na kutukana CCM
ccm sio fisadi watu ndio mafisadi wakiongozwa na lowasa na mbowe kwa kuficha pesa nje
Tena Mbowe huyu huyu mwenyekiti wa CHADEMA aliongoza wanaccm kwenye Bunge la katiba kuikataa rasmu ya pili ya katiba iliyotaka viongozi wa umma wasiwe na account nje ya nchi.ccm sio fisadi watu ndio mafisadi wakiongozwa na lowasa na mbowe kwa kuficha pesa nje
Mbaya zaidi watu hawa wamekuwa juu ya serikali yoyote iliyowahi kuundwa na Serikali ya CCM in 54 years ya Uhuruccm sio fisadi watu ndio mafisadi wakiongozwa na lowasa na mbowe kwa kuficha pesa nje
Richmond walitajwa wana CCM
Kagoda na Tangold walitajwa wana CCM
Tegeta Escrow walitajwa wana CCM
Mikataba ya hovyo ya madini wanatajwa wana CCM
Kashfa ya Lugumi walitajwa wana CCM
Manunuzi ya Radar ni wana CCM
Fedha za EPA walitajwa wana CCM
Ununuzi wa boti mbovu wanatajwa wana CCM
ARV feki walitajwa wana CCM
Sare hewa za Jeshi la Polisi wanatajwa wana CCM
Mauzo ya mali za UDA kwenda UDART walitajwa wana CCM
Kwani kwenye hiki chama cha Mapinduzi kuna chuo cha kujifunza kufanya ufisadi?