Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,275
- 108,278
Richmond umeisahau?
Hapo sasa!
Hapo nambari 5 pameandikwaje?
Richmond umeisahau?
Hapo sasa!
Hapo nambari 5 pameandikwaje?
nayo ni ufisad????
zaidi ya bilioni 60 zilitumika kutengeza katiba ambaye CCM waliitupa. Huu kama siyo ufisadi tuuite nini?nayo ni ufisad????
hivi wewe na mze wa gombe mna tofauti gani kiakili na kimuonekano?Richmond umeisahau?
Hapo sasa!
nayo ni ufisad????
Richmond umeisahau?
Hapo sasa!
Hapo nambari 5 pameandikwaje?
Soma tena namba 5.
5. Richmond/Dowans (japo walimtoa kafara Lowassa ili hali ilikuwa amri toka juu kwenye serikali ya CCM)
Hapo nambari 5 pameandikwaje?
nayo ni ufisad????
zaidi ya bilioni 60 zilitumika kutengeza katiba ambaye CCM waliitupa. Huu kama siyo ufisadi tuuite nini?
Kumbe ipo?
Nilikuwa sijaiona, vipi Lowassa alihusika na Richmond? Nnakumbuka ilipewa jina Richmonduli.
Kumbe ipo?
Nilikuwa sijaiona, vipi Lowassa alihusika na Richmond? Nnakumbuka ilipewa jina Richmonduli.
11. Rada mbovu ya change
12. Ununuzi wa ndege ya rais hadi tukala nyasi
13. Ujenzi wa Majengo pacha ya BOT
14. Utengenezaji wa fedha feki wakati Kikwete akibadilisha fedha
Kumbe ipo?
Nilikuwa sijaiona, vipi Lowassa alihusika na Richmond? Nnakumbuka ilipewa jina Richmonduli.