Zungu Pule
JF-Expert Member
- Mar 7, 2008
- 2,218
- 1,218
ccm sio fisadi watu ndio mafisadi wakiongozwa na lowasa na mbowe kwa kuficha pesa nje
Kwa kuwa maCCM ni mafisadi, CCM ni lifisadi, nyonyaji na hatari kwa maslahi ya watu kuanzia Loliondo mpaka Nyamongo mpaka Namtumbo. CCM imetumika kama kichaka cha kuhalalisha ufisadi kwa muda mrefu sasa. Mahali pengine, CCM ingewekwa kwenye orodha ya makundi haramu ya kigaidi kwa uhalifu ambao imeshau sponsor hapa nchini. Yaani sehemu ya mkakati wa wezi wa mali za Watanzania ni kujiunga na CCM.