Wana jamvi nimekumbuka O-level physics nai-apply kwenye siasa kwa wakati uliopo!
Newtons First law of motion:
Newton's first law states that every object will remain at rest or in uniform motion in a straight line unless compelled to change its state by the action of an external force.
Chama tawala kimekuwapo madarakani tokea uhuru wamekuwa wakifanya mambo kwa njia fulani miaka yote lakini katika utawala huu wamebadili mbinu , Najiuliza ni nini kinawafanya Chama tawala kubadili mikakati na kuanza kununua upinzani,kutumia risasi na kuua inapobidi.
Nini kimewa-compell na hiyo force ni force ya aina gani je ni ya ndani ya chama au nje ya chama na nini kitatokea hatimaye.Kwa nini wanatumia nguvu yote hii kwa upinzani wenye wabunge wachache!
The second law explains how the velocity of an object changes when it is subjected to an external force. The law defines a force to be equal to change in momentum (mass times velocity) per change in time. Momentum ime-change nini kitatokea note force to be equal to change in momentum.Inaelekea nguvu iliyo nyuma ya haya mabadiliko si haba
The third law states that for every action (force) in nature there is an equal and opposite reaction. In other words, if object A exerts a force on object B, then object B also exerts an equal force on object A.
Hii ni reaction kutokana na something!Kuna kitu kinawafanya wafanye haya wanayoyafanya,je ni hofu? kutokukubalika?au ndio wamefikia mwisho,au ni mwanzo wa mwisho.Something is wrong somewhere!