Malkia bora
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 765
- 524
Ni nani mwenye matusi zaidi kati ya oppositin na mafisi. Kuua wananchi wakiwa wapinzani ama wanafunzi wote ni wananchi. Hayo ni matusi makubwa kwa wapiga kura. Uliona Kinondoni? Baada ya kuuawa watu tarehe 16 wangapi walipiga kura tarehe 17? Asili mia 17. Je unaweza kusema kuwa kuna ushiriki hapo? Nani kam hagua huyo aliyechaguliwa? 11% ya watu wote wa kinondoni. Yaani watu 11 kwa kila mia. Hii ni hatari sana. Ni mtu asiyechaguliwa na watu. Kama moja alivyosema agafanye kazi ikulu.