monges
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 1,040
- 392
Akili yangu imetuli sana, kwanza mm sina mihemuko ya vyama, pili mm huwa nachagua kiongozi na si chama, kuelewa unakokusema ww labda nikubali kukaririshwa, ni kitu ambacho kwangu hakina nafasi hata kidogo, natafakari mambo kwa kutumia akili yangu na si ya mtu mwingine. naamini siku ukielewa wimbo uchezeshwao na hao wanaharakati, utasikitika sana.Utakuja kuielewa tu utakapopata akili nzuri