CCM mtaitoa kwa kura za JF mlipojazana BAVICHA,BAWACHA,CHASO(wenye ID nyingi nyingi humu) na ndugu zao akina Masamaki,Lowassa,Mpemba,Sethi(Singa Singa),Kitilya,Malinzi na majizi mengine yaliyobanwa na kutumbuliwa, bila kusahau mliokuwa mnapokea mishahara minono kumbe mlighushi tu.Asilimia 95(95℅) ya wananchi wa kawaida wanaojishughulisha na wabunifu wa siku zote,ukianzia kwa wajasiliamali wadogo wadogo mpaka wakulima huwaambii kitu kuhusu JPM.Nakuhakikishia hiyo 2020 hazungushi mtu mikono kama boya tena.Na mkirudi na wagombea wanaoongea DK 2 au 3 jukwaani(Boda boda nawapenda sana,mama ntilie rafiki zangu,mkinichagua nitamtoa babu Seya,peopleeeeeeeeeeees - Power)X5,ASANTENI SANA...FINISH...,ndo mtaalikana wenyewe hayo makundi niliyotaja hapo juu.TIME WILL TELL.