CCM na Magufuli wanaelekea shimoni tu 2020

Kwanza naomba nirudie maneno ya nape nnauye kuwa ccm ilikuwa inaelekea shimoni
Na siyo shimoni tu sasa inaelekea kufa kabisa 2020 itatupa picha tu ya kule ccm ya magufuli inakoelekea
Njaa, pesa kutokuonekana kwa wajasiriamali,wenye maduka, huku kodi zikiwa zimeongezwa mara dufu sidhani kama mwananchi wa kawaida vijijini na mijini watauelewa huu utawala
Kiujumla watu wanabangaiza tu
Kazi za kufanya wanazo lakini pesa zinazotakiwa kutokana na kazi walizonazo hawazipati
Mtu alieshiba atakuelewa ila mtu ambaye shida zimemzunguka tena akijua utawala unashiriki kumkamua sifikirii kama atauelewa utawala uliopo

Ccm na magufuli ni waigizaji wazuri sana kama filamu za mambo ya utawala
Leo wanauchungu kesho hawana uchungu na taifa
Elimu bure imekuwa ni maigizo badala ya elimu bure imekuwa ni elimu bila ADA

Huku magufuli akijidai ni mzalendo kwelikweli alikutana na mtu aliemtuhumu kuwa ni mwizi wa watanzania kuhusu midhahabu yetu na akaishia kucheka na kutabasamu huku akiudanganya uma kuwa tutalipwa huku aliowaita wezi wakikanusha kutulipa

Akajidai kumwagiza ndugai mikataba ya madini irudishwe bungeni ijadiliwe kwa kina huku ndugai akiipokea kwa hati ya dharura na kutenga siku tatu tu za kuijadili

Hivi kwa akili ya kawaida tuko serious kweli na hiyo mikataba ya madini
Sasa mbwembwe zote zile za sisi ccm na magufuli ni wazalendo ndizo hizi kweli?

Ni serikali hii hii ambayo haiwezi kununua mazao ya chakula kutoka kwa wananchi ukiwauliza pesa hawana za kununua
Wananchi wameamua kuuza ndani ya nchi tu mazao yao mwisho wa siku wanaishia kukamatiwa mazao yao na serikali hii hii inataka kutaifisha mazao yaliyokamatwa bure huu hauna tofauti na wizi tena wizi wa mchana kweupe ambao Utawala huu unawaibia raia wake
Tukumbuke pesa inapatikana kwa kuuza kile ulichokipanda la sivyo utaishi maisha magumu tu

Mwisho serikali hii inayojinasibu ya viwanda uchumi unaendelea kukua kwa wenye nazo tu wananchi wa kawaida ukiwaambia uchumi unakuwa wakati pesa hana ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa ukitegemea atacheza

Kiukweli serikali hii inawakamua sana raia wake haina huruma na raia wake mpaka sasa

Serikali hii toka imeingia madarakani inapambana kurekebisha utawala tu ila ahadi kama ahadi hazitekelezeki mpaka sasa

Halafu unashangaa mtu anasimama anasema tumetekeleza ahadi zetu kwa asilimia 80
Zipi hizo mlizotekeleza?

Uchumi mbaya kwa wananchi wa kawaida kazi kutokuzaa pesa kama ilivyokuwa ni moja ya mambo ambayo yanaipeleka ccm na magufuli shimoni

Nakumbusha tu kuhusu uchaguzi uliopita ccm mlishinda kwa asilimia 58
Upinzani asilimia 40

Mtapiga wenyewe mahesabu wamezidiana kwa asilimia ngapi

Yangu macho

Na Eden kimario
Hii mijitu ya kaskazini ni taabu tupu! Nyie hamtaki kabisa kumuunga mkono Mhe. Rais wetu. Mnacho omba ni mabaya tu kwa Watanzania. Hata hivyo mmefulia
 
Basi wasaidieni wakulima wapate pembe jeo za kutosha na wataalamu wa kutoshsa ili kilimo kiwalipe haiwezekani mkulima hajitegemee kila kitu then uje kumwambia hakuna kuuza mahindi nje tengenezeni kwanza hivyo viwands ndio mkataze sio mkataze ndio mtengeneze viwanda
Hapa ndipo serikali inapokosea
 
Hivi kibiti wanatunguliwa nani vile hii sio kispotispoti mjue kuna kundi linajilimbikizia utawala kwa nguvu lakini 2020 itakuwa mbaya zaidi kisiasa Tanzania
Yote yanasababishwa na magufuli kujifanya mbabe
Anavunja katiba na sheria za vyama vya siasa kufanya siasa
 
Maisha ya watanzania magumu,watumishi ni kunyanyaswa na mikataba kuvunjwa na kukiukwa.Waliomba kura kwa kulala hadi chini lakini sasa ni vitisho na jeuri.
How easy it is to govern when one follows a system of consulting the will of the people and one holds as the only norm all the actions which contribute to the well being of the people.
AMKA MTANZANIA,DAI KATIBA,DAI TUME HURU.
Ubabe usio kuwa na maana wala faida kwa taifa zaidi ya kuliangamiza taifa tu
 
CCM mtaitoa kwa kura za JF mlipojazana BAVICHA,BAWACHA,CHASO(wenye ID nyingi nyingi humu) na ndugu zao akina Masamaki,Lowassa,Mpemba,Sethi(Singa Singa),Kitilya,Malinzi na majizi mengine yaliyobanwa na kutumbuliwa, bila kusahau mliokuwa mnapokea mishahara minono kumbe mlighushi tu.Asilimia 95(95℅) ya wananchi wa kawaida wanaojishughulisha na wabunifu wa siku zote,ukianzia kwa wajasiliamali wadogo wadogo mpaka wakulima huwaambii kitu kuhusu JPM.Nakuhakikishia hiyo 2020 hazungushi mtu mikono kama boya tena.Na mkirudi na wagombea wanaoongea DK 2 au 3 jukwaani(Boda boda nawapenda sana,mama ntilie rafiki zangu,mkinichagua nitamtoa babu Seya,peopleeeeeeeeeeees - Power)X5,ASANTENI SANA...FINISH...,ndo mtaalikana wenyewe hayo makundi niliyotaja hapo juu.TIME WILL TELL.
Nakukukumbusha tu ccm mlishinda kwa kura za wizi za asilimia 58
Upinzani pamoja na kuwaibia kura walipata asilimia 40
Sasa jiulize una miaka mingapi ya kuendelea kuwa chama dola
Haizidi 15
Nikukumbushe tu kule mexico kuna chama kiliongoza kwa miaka 100
Lakini uchaguzi wa 2015 wananchi walikiondoa madarakani
 
Tatizo kwangu wateja hamna na kodi kubwa ndiyo maana nimeamua kwenda kufuta TIN yangu TRA haiwezekani kodi inapanda maradufu kwa 110% yaani inaongezeka inaipita ile ya awali mara 2
Hii ni hali inayomkuta kila mtu Tanzania nzima
Nani kusababisha magufuli
 
Ccm hawako vizur ila kwa jinsi upinzani usivyo na mvuto hakuna Wa kuiangusha Ccm
 
Kwanza naomba nirudie maneno ya nape nnauye kuwa ccm ilikuwa inaelekea shimoni
Na siyo shimoni tu sasa inaelekea kufa kabisa 2020 itatupa picha tu ya kule ccm ya magufuli inakoelekea
Njaa, pesa kutokuonekana kwa wajasiriamali,wenye maduka, huku kodi zikiwa zimeongezwa mara dufu sidhani kama mwananchi wa kawaida vijijini na mijini watauelewa huu utawala
Kiujumla watu wanabangaiza tu
Kazi za kufanya wanazo lakini pesa zinazotakiwa kutokana na kazi walizonazo hawazipati
Mtu alieshiba atakuelewa ila mtu ambaye shida zimemzunguka tena akijua utawala unashiriki kumkamua sifikirii kama atauelewa utawala uliopo

Ccm na magufuli ni waigizaji wazuri sana kama filamu za mambo ya utawala
Leo wanauchungu kesho hawana uchungu na taifa
Elimu bure imekuwa ni maigizo badala ya elimu bure imekuwa ni elimu bila ADA

Huku magufuli akijidai ni mzalendo kwelikweli alikutana na mtu aliemtuhumu kuwa ni mwizi wa watanzania kuhusu midhahabu yetu na akaishia kucheka na kutabasamu huku akiudanganya uma kuwa tutalipwa huku aliowaita wezi wakikanusha kutulipa

Akajidai kumwagiza ndugai mikataba ya madini irudishwe bungeni ijadiliwe kwa kina huku ndugai akiipokea kwa hati ya dharura na kutenga siku tatu tu za kuijadili

Hivi kwa akili ya kawaida tuko serious kweli na hiyo mikataba ya madini
Sasa mbwembwe zote zile za sisi ccm na magufuli ni wazalendo ndizo hizi kweli?

Ni serikali hii hii ambayo haiwezi kununua mazao ya chakula kutoka kwa wananchi ukiwauliza pesa hawana za kununua
Wananchi wameamua kuuza ndani ya nchi tu mazao yao mwisho wa siku wanaishia kukamatiwa mazao yao na serikali hii hii inataka kutaifisha mazao yaliyokamatwa bure huu hauna tofauti na wizi tena wizi wa mchana kweupe ambao Utawala huu unawaibia raia wake
Tukumbuke pesa inapatikana kwa kuuza kile ulichokipanda la sivyo utaishi maisha magumu tu

Mwisho serikali hii inayojinasibu ya viwanda uchumi unaendelea kukua kwa wenye nazo tu wananchi wa kawaida ukiwaambia uchumi unakuwa wakati pesa hana ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa ukitegemea atacheza

Kiukweli serikali hii inawakamua sana raia wake haina huruma na raia wake mpaka sasa

Serikali hii toka imeingia madarakani inapambana kurekebisha utawala tu ila ahadi kama ahadi hazitekelezeki mpaka sasa

Halafu unashangaa mtu anasimama anasema tumetekeleza ahadi zetu kwa asilimia 80
Zipi hizo mlizotekeleza?

Uchumi mbaya kwa wananchi wa kawaida kazi kutokuzaa pesa kama ilivyokuwa ni moja ya mambo ambayo yanaipeleka ccm na magufuli shimoni

Nakumbusha tu kuhusu uchaguzi uliopita ccm mlishinda kwa asilimia 58
Upinzani asilimia 40

Mtapiga wenyewe mahesabu wamezidiana kwa asilimia ngapi

Yangu macho

Na Eden kimario
Kama mawazo haya ndiyo mawazo ya wapinzani wa vyama vyetu vya upinzani hapa nchini, mawazo ya kula ugali kwa picha ya samaki basi ccm itatawala milele. Walah naapa!
 
Wazungu wanamng'oa Magu 2020...hakuna kura kuibiwa ...Zanzibar SAA NNE asubuhi Seif raisi...watu hawarudii makosa ya 2015
Ni ngumu sana bro, kwanza tunatakiwa kuvielewa vyama mbadala, kimsingi mbadala wa CCM haupo, sana sana niwapiga porojo2, nilitegea sana CHADEMA lakini imeonyesha udhaifu mkubwa sana na kusahau walichokuwa wanasimamia hapo mwanzo na hadi muda huu hakuna wanachofanya. kumbuka wazungu si wajinga kiasi hicho.
 
Nakukukumbusha tu ccm mlishinda kwa kura za wizi za asilimia 58
Upinzani pamoja na kuwaibia kura walipata asilimia 40
Sasa jiulize una miaka mingapi ya kuendelea kuwa chama dola
Haizidi 15
Nikukumbushe tu kule mexico kuna chama kiliongoza kwa miaka 100
Lakini uchaguzi wa 2015 wananchi walikiondoa madarakani
Mkuu inaonyesha umepotea au ulianzisha Uzi kwa hasira fulani.. Kuna mahali Umesema "Sasa jiulize una miaka mingapi kuendelea kuwa chama dola haizidi 15", kwenye kichwa habari unasema 2020 CCM chali,hapo juu unasema haizidi 15,ina maana moyoni unajua upinzani bado sana sio 2020 wala 2025.Kumbuka na mgombea wenu wa 2015 aliwaambia upinzani usipochukua nchi 2015 utasubiri miaka 50 ijayo,alijua yeye genge la akina Rostam na Kalamagi,wakichemka likaingia BULLDOZER JPM ndo mwisho wao,na anajua yeye ndo kasogeza miaka ya CCM kung'oka madarakani mbele sana.Kinachowatafuna Sasa hivi ni kumkaribisha huyo jamaa,hii itawatafuna miaka zaidi ya 50.Labda kije chama kipya chenye nia ya kweli,sio CHADEMA wala CUF.TUMESHAWASHTUKIA.
 
Utakuja kuielewa tu utakapopata akili nzuri
 
Nakukukumbusha tu ccm mlishinda kwa kura za wizi za asilimia 58
Upinzani pamoja na kuwaibia kura walipata asilimia 40
Sasa jiulize una miaka mingapi ya kuendelea kuwa chama dola
Haizidi 15
Nikukumbushe tu kule mexico kuna chama kiliongoza kwa miaka 100
Lakini uchaguzi wa 2015 wananchi walikiondoa madarakani
Halafu hizo 40℅ ni nyingi za wanywa viroba,serikali sio wajinga kuvifuta,wengi walikuwa wanazungusha mikono bila kushirikisha ubongo,ndo maana walipewaga jina la NYUMBU.Huwezi tangaziwa kwa miaka 8 mfululizo na viongozi wako kuwa fulani FISADI PAPA,halafu baada ya kukataliwa kwenye chama chake unampokea na kumzungusha nchi nzima ukimuita malaika.Ilikuwa inahitaji either uwe na stimu kichwani au IQ yako iwe ndogo sana.AU umelipwa na upo kwenye dili la kupata kitu baadae.Sasa 2020 mtabaki wa madili tu,wazungusha mikono hamuwapati ng'o.Mkipata 20℅ shukuru Mungu.Na wabunge wenu kibao hawatarudi.Tusubiri tuone.
 
Mkuu inaonyesha umepotea au ulianzisha Uzi kwa hasira fulani.. Kuna mahali Umesema "Sasa jiulize una miaka mingapi kuendelea kuwa chama dola haizidi 15", kwenye kichwa habari unasema 2020 CCM chali,hapo juu unasema haizidi 15,ina maana moyoni unajua upinzani bado sana sio 2020 wala 2025.Kumbuka na mgombea wenu wa 2015 aliwaambia upinzani usipochukua nchi 2015 utasubiri miaka 50 ijayo,alijua yeye genge la akina Rostam na Kalamagi,wakichemka likaingia BULLDOZER JPM ndo mwisho wao,na anajua yeye ndo kasogeza miaka ya CCM kung'oka madarakani mbele sana.Kinachowatafuna Sasa hivi ni kumkaribisha huyo jamaa,hii itawatafuna miaka zaidi ya 50.Labda kije chama kipya chenye nia ya kweli,sio CHADEMA wala CUF.TUMESHAWASHTUKIA.
Soma vizuri 2020 itatupa picha ya kupotea kwa ccm kwa kuwa upinzani unakuwa kwa kasi sana na ccm inaendelea kushuka tu
Tuna miaka 15 ya kuendelea kuiona ccm madarakani kabla ya kuitwa chama cha upinzani kwa mwenendo anaoenda nao magufuli
 
Kwa lipi hasaa
Kwa kutofanya siasa wakati wa kukarabati nchi, ila 89% ya wachaga tunajua hamumpendi JPM! kwa sababu tu, sio ndg yenu. Na ndiyo maana mnafanya kampeni chafu za kutokuona kwa kile kizuri anachofanya Rais wetu. Ila nafsi zenu zinawasuta.
 
Back
Top Bottom