albab
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 2,004
- 3,400
Salaam....
Niseme tu kama kuna uchaguzi wa kibabe kuwahi kutokea basi ni huu. Ni mwaka huu ndo nimeiona IDARA ikitoa funzo kubwa sanaaa kwa CCM na baba mkuu...
Wengi mtabeza ila ukweli ni kwamba hii naweza kuita oparation kubwa IDARA kuwahi kuifanya pamoja na kwamba imejaa udhaifu ila imefanikiwa kwa 100%
CCM chunguzeni mchakato wenu wote wa ndani mtagundua hawa watu walikua all over your places wagombea wote waliangaliwa na kufanyiwa tathimi na hawa jamaa CHAMA ilikuwa ni kukamilisha taratibu tu.
Mtakao beza hizi jitihada shauri enu ila haya ni maoni yangu.
1. Labda Ilihitajika namna na kumuonesha mkuu na chama kwamba kuna watu wakiamua kitu lazima kiwe na kwamba yeye na chama wapo pale kwa sababu kuna watu wametaka wawepo kiburi na jeuri si kitu kwao na wakiamua wanaweza kuwaondoa pia.
2. Labda ni mpango wa kuingiza siasa mpya nchini kuelekea 2025 kupata wapinzani wa kweli na sio tuliowazoea mana tayri walikosa madoa ya uzalendo kwa nchi na amini kwamba huu ndio ukweli CHADEMA kuruhusu LISSU kugombea kiusalaMA lilikua kosa kubwa hasa kwa aina siasa za LISSU.
3. Kama wasingekua hawa watu Lissu asingemaliza kampeni zake na hili wengi watalikataa ila ndo ukweli mchungu hawa watu walimuhakikishia Lissu ulinzi wote na siku zote hawakutaka kabisa aguswe.. so walijua wanaenda kumuulia wapi.
4.Siasa ni hesabu na kuna watu wanazicalculate usiku na mchana usishangae hesabu za mwaka huu zikawa kuidhoofisha CCM miaka 10 ijayo ikiwa n pamoja na kuibua chama kipya achenye ushawishi kwa wananchi mana upinzania wa sasa unamadhaifu mengi kimfumo.
5. Kama CCM inahisi bunge ni lao wanakosea hawa watu wapo kila kona ya bunge na msishangae ukatokea mvurugano mkubwa bungeni kuhakikisha utendaji unakamilika.
CCM na MKUU haya ni yangu hawa watu wapo kila mahali na wanaweza kufanya lolote muda wowote bila kujali yoyote ila maslahi ya usalama wa nchi. Huu mziki CCM wameucheza bila wao kujua madhara yake kifuatacho mimi na wee tuwape muda walioplan huu mchezo hafi mwisho na kama waliuplan bila kujipanga TUMEKWISHA.