leo walijaa na nguo za kijani,wale wa mbali na mabegi mikononi,kosta kama mbili na bendera za kijani,niliona na ffu kama wanne wamekaa kwenye vibaraza vya kusomea wanafunzi wa tpsc,baadhi walionekana kuwa na aibu kutembea njiani may be they are shame with their part,
comments
"wengi walovaa nguo za kijani walionekana kutokuwa na furaha,nafikiri may be wapo kwa kuwa wanataka kula,wamelazimishwa au hawana la kufanya"