Uchaguzi 2020 CCM na kampeni chafu dhidi ya Mbowe jimboni Hai

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,697
9,048
Nimefuatilia Kampeni za Rais Magufuli Jimbo la Hai kwa Mhe. Mbowe Hakika ni Propaganda, uongo, Siasa maji taka kumchafua Mhe. Mbowe.

Magufuli amesema kwa miaka yote 5 Mhe. Mbowe hakuna alichochangia katika maendeleo ya wana Hai. Kwamba Mbowe alikuwa akitoka nje wakti wa Bajeti na alikuwa haongei na Mawaziri wa Miundombinu, Afya na Elimu ndiyo maana Hai imechelewa Sana!!! Msikilize Mhe. Mbowe akiwa Bungeni:



Wakti Magufuli anasema maendeleo hayana CHAMA bado ameonekana kujipinga mwenyewe kwa kudai hakuwa na Connection ya kufanya kazi na Halmshauri ya Hai kwa vile Mbunge ni wa CHADEMA!
WHAT A CONTRADICTION?

Rais Magufuli anaonekana ni mwongo, mnafiki na MBAGUZI kwa kuyatenga majimbo yanayoongozwa na Upinzani waziwazi. Hii nchi Ni ya mfumo wa Vyama vingi hivo Rais anayechaguliwa hawezi kukataa kupeleka maendeleo ya jimbo fulani kwa vile tu wamechagua Wabunge na Madiwani toka
Chama Cha Upinzani!
 
JPM anaoneka Kama zinapungua hivi kichwani. Hajielewi, haelewi watu, haelewi anategemewa wapi kwa Jambo gani...Yani Lisu aliposema tuna raisiii wa ajabu haijapata kutokea alimaanisha hii akili isiyojitambua ya huyu mtu. Hapaswi kuwa kiongozi wetu huyu Tena akamatwe
 
JPM anaoneka Kama zinapungua hivi kichwani. Hajielewi, haelewi watu, haelewi anategemewa wapi kwa Jambo gani...Yani Lisu aliposema tuna raisiii wa ajabu haijapata kutokea alimaanisha hii akili isiyojitambua ya huyu mtu. Hapaswi kuwa kiongozi wetu huyu Tena akamatwe
Katiba yetu ingekuwa inalazimisha viongozi wakuu kupimwa afya kwa lazima hasa afya ya akili, hakika majibu ya mzee wetu yangeishangaza dunia
 
Chonde chonde ubaguzi hauna chama! Huyu mhutu tuungane wote arudi urundi ama sivyo atatumaliza. Hii ni wananchi wote bila kujali chama! huyu ni dracular mnyonya damu kabisa! Mimi niko radhi kukubali tukose wabunge lakini hili dubwasha lifungashe!! Narudia tena nitaridhika kupoteza wabunge hata wote lakini Mrundi aondoke CCM mnielewe
 
Ni watanzania wachache sana wanaomwelewa John! Ni mwongo, hakuna dunia hii aisee! Kinachonishangaza mimi, kwa nini watz wanadanganyika namna hii? Mbona ccm wanatuchukulia kuwa ni wajinga kiasi hicho??
 
Back
Top Bottom