Uchaguzi 2020 CCM na kampeni chafu dhidi ya Mbowe jimboni Hai

Sikiza wew kima,haiwezekani kupeleka maendeleo ya ziada sehem ambayo kiongozi wake hajawai kuona jitihada za serikali iliyopo madarakani. Hizo km5 za lami aliahidi endapo mbunge wa ccm atachaguliwa. Kwa hiyo huyo mbowe ni jambaz la siasa na JPM atamnyoosha kwny uchaguzi huu wa 2020,harudi bungen hata afanyaje. Watu wa hai wanataka connectio sio jambaz la siasa. Ndio maana hata kwny mikutan yake hana sera anataja tu Sabaya Sabaya sanaya.
 
Tunza hii maneno huyu jomba hawezi kuja kumbukwa kwa chochote hii tz...na nimoja ya raia ambao kumbukumbu zao zitafutika haraka sana hii tz na duniani pia
 
Huyo Sabaya 28 tunamvua Suruwali halafu tunamgeuzia kibla
Yeye kama Kiongozi mbona hafuati Katiba na Sheria??
 
..hotuba za Jpm zinamaanisha kwamba ilani ya ccm haina maana.

..katika utawala wake ili maendeleo yapatikane shurti mbunge akampigie magoti.
Kwamba nchi inaendeshwa kwa connection badala katiba na sheria.

Serikali kupeleka maendeleo kwa wananchi ni connection siyo wajibu wa lazima.

Huu ni utawala wa kinyama
 
Anachofanya Magu ndicho wanachofanya wanasiasa karibia wote. Propaganda chafu na uongo wa wazi.

Ni kazi ya wapiga kura kuchambua mchele na mawe then wafanye kweli na bahati nzuri siku hizi huwadanganyi watu kindezindezi
 
Wakati wa Jakaya iliamriwa watu wa mfumo wahakikishe Mbowe hakosi Kandarasi ya usafirishaji wa Vifurushi pale Kilimanjaro International Airport

Ilihakikiswa Mbowe anapata Matangazo ya Serikal kwny Gazeti lake la Tanzania Daima

Pale Bilicanus mbinu za NHC za kumchomoa Mbowe zote zilizuiwa

Nyakati hizo Mbowe kila akifungua mdomo basi anamdhalilisha na kumtungia Uongo Jakaya

None can undue the past
 
Tatizo la ccm wanafikiri wakimmaliza Mbowe wameimaliza CDM, wanaogopa mchagga mmoja kuliko wengine milioni 5. CDM haifi leo wala kesha Mbowe awepo asiwepo CDM ni mali ya Umma.
 
Unaanza je kumuamini aliyekuambia kipande cha karatasi cha machinga kinaweza chukulia mkopo banki
 
Magu sio mwanasiasa, haijui siasa kabisa na hakupaswa kuwa kiongozi wa kisiasa. Amedhihirisha kwa matendo na maneno yake.
 
Mzee anahisi labda bado tuko zama za mediaval something very bad in modern poltiics. Hao wakazi wa Hai wengi wameelimika na habari zote za bunge wanazifuatilia, sasa sijui anamdanganya nani? Probably anajidanganya mwenyewe
Atakuwa kafundishwa na polepole aseme hivyo kumbe hajuia polepole nae kafirisika kifikira yupo after money anapiga pesa za bajeti ya kuihujumu kuidhoofisha chadema kimya kimya
 
Atakuwa kafundishwa na polepole aseme hivyo kumbe hajuia polepole nae kafirisika kifikira yupo after money anapiga pesa za bajeti ya kuihujumu kuidhoofisha chadema kimya kimya

Chakubanga kamshika masikio huyu Mzee, na Ole Sabaya ndo kaandaa hii script uchwara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…