kweli wewe ni ***** kati ya mabwege! thread kama hii unaweza kweli kuileta jamvini wakati kama huu ambapo wapumbavu wenzako magamba mnapumulia mashine! Jinga ni jinga tu hata ukilipeleka darasani hakuna mabadiliko! sijui ww ni mzee au kijana, kama ni mzee sio mbaya huyo kashapishana na wakati lakini kama ni kijana pole sana! akili yako imejaa matope!
umekosa pesa ya bia week end jk yupo na mawaziri wake arusha kwenye mkutano wa east africa wanaendelea kubomoa kodi zetu kule ngurudoto lodge chumba kwa siku dola 1,000
Upinzani wekeni kando, JK amekidhi matakwa ya watanzania, leo roho kwatu!!!
usihofu chadema ina vichwa vingi tu,itaanzisha hoja nyingine kwa sababu hoja ya katiba,hoja ya baraza la mawaziri zimeshapita.
Nashauri cdm ianze na hoja ya elimu ya chuo na sekondari bure halafu tufuatie hoja ya kushusha bei ya cement
Washangaa JK kula kodi ya wananchi; DR. Slaa na Mchumba wake kulala chumba cha 250,000/= wakiwa Arusha kwa kodi ya wananchi ruhusa???
boya kweli kweli, inamaana unashangilia Jk kula kodi zetu. Na Slaa hizo kodi zenu amezitoa wapi. Yaani wewe ni bure kabisa afadhali hata dawa ya penzi inatulinda na maradhi. Hufai kuwepo duniani.
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.
Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.
Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!
Dr Slaa anakula kodi zetu kupitia ruzuku inayopata CDM kutoka hazina; analipwa posho ya kukosa urais mil. 12, kila mwezi, mchumba wake kamtengezea deal ya kuratibu mifumo ya habari CDM HQ, kapewa kazi kifisadi pasipo kushindanishwa
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.
Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.
Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!
Kikwete asingeweza kamwe kufanya mabadiliko yeyote kama siyo kuwakiwa na CDM, hata hao wabunge wa ccm unaowaona kujidai kupiga kelele inawalazimu kufanya hivyo hata kwa kuigiza la sivyo watayapoteza majimbo yao kwa CDM.
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.
Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.
Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!
waonaje hapo slaa aitwe dr. na kikwete aitwe dr.? anyway mzito sana wewe kusoma alama za nyakati... ukiona umeanzisha uzi kama huu then faizafox,rejao,mwita 25, malaria sugu nk wamekupotezea...jua wewe ni mwendawazimuDr Slaa anakula kodi zetu kupitia ruzuku inayopata CDM kutoka hazina; analipwa posho ya kukosa urais mil. 12, kila mwezi, mchumba wake kamtengezea deal ya kuratibu mifumo ya habari CDM HQ, kapewa kazi kifisadi pasipo kushindanishwa