CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

Hata kama unapata mlo kwa kupitia ccm haifai kusifia vitu visivyo na mantiki jk kuvunja baraza ndio kifo cha ccm!
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

Nikitumia lugha zetu za zamani zile tulikuwa tunasema huyu jamaa ni faruku au nini; ila najua siku hizi tumekuwa wastaarabu zaidi hatutumii tena lugha chafu hivyo. Ila ndugu yangu tambua umekuja na hoja isiyokuwa na mwelekeo kabisa
 
CCM wote wana fikra mgando za miaka sabini ilopita, ukinipa chance ntaanzia pale magogoni hadi mjengon nalipua magamba yote nadhan ningemuacha filikunjombe tu, na huyu mtoa thread ya kijinga like this ndo ma mambumbumbu yanayotakiwa kuchinjwa!!
 
Kuvunja baraza la mawaziri peke yake, bila kuwafanyia mawaziri na manaibu wao uchunguzi na kufungwa haitakuwa na maana. Kwanza usifuraie kwani ilo baraza jipya ujaliona wala kulijua, usije kuta wale wale watuhumiwa wanabadilishiwa wizara au kupewa vyeo vingine cjui utazimia. Jaribu kuwa Mtanganyika usiwe mtanzania wa ccmafisi kwa kudanganywa na mnofu ukasahau familia yako wakiteketea na moto, uku ww unafuraia mfupa.
 
I doubt uwezo wako wa kufikiri au umevishwa kanga ya kijani na kapteni tena ina maneno ya taarabu?

Yaani wewe ni polisi wa kukamata bangi umefanya jitihada za kuwatafuta wavuta bangi huwapati anapita mtu anakuonyesha mtu mwingine anayekuja upande wa pili ana bangi unamwita kumsachi na kukuta ni kweli una haja ya kujisifia?
 
CCM inatawala nchi, CDM inaongoza nchi kwa kuwaelekeza watawala chakufanya
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

HOJA YAKO INAKUWA NA MASHIKO HAPO PENYE RED, MENGINE NI HADITHI ZA CCM, CHAMA CHENYE SIFA ZA UNAFIKI. JE NI KWELI WATAFIKISHWA KWENYE VYOMBO VYA SHERIA? HAPO NDO CHADEMA MAMBO MDUNDO, VILE VILE TUNASUBIRI NA EPA. aah
 
Hongereni sana cdm kwa ubunifu wenu bungeni maana mnavyowapeleka puta mafisadi bungeni sio mchezo! Hatuwez kushangilia hoja ya kuvunja baraza la mawaziri wakath hatujaliona hilo jipya. Maana watatoa mafisadi wataweka wala rushwa, hawana haya hao!
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

Sa we mafilili unaongea nn? We huoni kbs kuwa ccm ndio inazidi kujichimbia kaburi kwa kuzifanyia kazi hoja za chadema? CCM imebanwa haiwezi hata kupumua.
 
Watanzania jana wamekenua meno baada ya kipenzi chao Mheshimiwa Rais Kikwete kukidhi kiu yao ya kuvunjwa baraza la mawaziri na kusudio la kuwafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika kufisadi mali za umma.

Hatua hiyo imezidi kukipaisha CCM na wakati huo huo kukiporomosha chama pinzani CHADEMA huku tukielekea 2015. Watanzania kutoka mashariki hadi magharibi, kaskazini mpaka kusini jana jioni walikuwa katika makundi wakisherekea hatua ya JK na kuipongeza CC ya CCM kuwa ina wapenda Tanzania na manufaa kwa Watanzania.

Poleni CHADEMA, tafuteni hoja nyingine, ya kuvunja baraza la mawaziri haina mshiko tena!

Hapo kwenye red,ni kipenzi chako na si kipenzi chao,kama huna jambo la kuleta hapa JF ni bora ukalala tu leo ni weekend.
 
Usiwe kama umeingia Tanzania jana ndugu yangu... Kwani hujui hayo yote yanatokana na nini?? Uwezo wa wabunge wa CDM kujenga hoja bungeni ndio uliosababisha baraza la mawaziri livunjwe. Bila CDM imara kusingetokea hayo mabadiliko unayoyasema leo.... Keep it CDM Mps
 
Huyu jamaa aliyeleta hii thread ni mbeya, pili hoja zake hazina mashiko. Kama baba Ritz kidume basi awapeleke mahakamani then awafilisi hao wezi.

Hapo umenena kaka na kama kweli huyu vasco daggama ni kiongozi anayefaa tunataka tusikiye wakihukumiwa pamoja na kufilisiwa na hatutaki kusikia eti uchunguzi unaendelea .hapo itakuwa ni danganya toto.
 
kweli wee kilaza nambari moja Tanzania. Unaangalia matokeo badala ya kuangalia chanzo!!!! Hoja ya kumpigia kura wm ni hoja iliyoanza na wabunge wa upinzani na sio sisi-emu, kwa hilo sisi-emu imekiri udhaifu wa serikali yake mpk inaelekezwa cha kufanya?
In whatever you plan to do, think twice and even more before you do it.

Naogopa sana kama mtu anaweza kupongeza ujinga wa namna hii... Inaonesha ni jinsi gani watanzania tulivyo watu wakuendeshwa na matukio, bila matukio akili zetu zinalala. Mbaya sana hii!!!!!!!!!! Huwezi kupongeza ujinga unaofanywa na mtu mjinga aliyesababisha mwenyewe ujinga wa mwanzo. Tuwe wazalendo jamani, hii nchi siyo yetu peke yetu bali na vizazi vyetu vijavyo............makaburi yetu yatafukuliwa na wajukuu zetu na kutamani kuchoma mifupa yetu.
 
Hongereni sana cdm kwa ubunifu wenu bungeni maana mnavyowapeleka puta mafisadi bungeni sio mchezo! Hatuwez kushangilia hoja ya kuvunja baraza la mawaziri wakath hatujaliona hilo jipya. Maana watatoa mafisadi wataweka wala rushwa, hawana haya hao!
 
Kila jambo lahitaji hatua, step one ni kuvuliwa cheo, then vyombo husika (DPP, Mahakama) kuendeleza mchakato kufuatana na dhana mzima ya utawala bora

Magamba bwana? eti mchakato, mara DPP, Mahakama!!!!!!!
Hivi EL alipobinuliwa miguu juu kichwa chini, hiyo michakato, DPP na Mahakama hazikuwepo? Je, akina AC na RZ nao vipi? Kweli unahitaji kuwa maiti ndio uwe kwenye Magamba!
 
Au Mimim siyo mtanzania, maana watu wa eneo ninalo ishi wameipongeza CDM kwa kuifundisha serikali ya CCM nini cha kufanya. Wameiponda CCM kwa kukosa uelekeo na ufujaji wa pesa za umma!
 
Jogoo Bata.jpg
Hii ndiyo hali halisi. nyie pigeni kelele, CHADEMA tunafanya kwa vitendo na watu wanaona

Back
Top Bottom