Kweli kero zinatatuliwa kwa wakati,hata anakoishi mh maeneo ya Nyegezi Majengo maji yanamwagika masaa 24. Barabara za mitaani jimboni zinapitika vizuri sana nyakati zote,mfano barabara ya Nyegezi Kapuya street inayoshukia Saguda hoteli zinapitika tu vzr,Nchenga street kutokea Gemstone kuelekea City side ziko vizuri sana tuendelee kumpongeza mh kapiga kazi inayoonekana hata kwa macho.Mh: Mbunge anatimiza wajibu kupeleka mrejesho kwa wapiga kura wake,,
sioni haja ya kuacha shughuri zangu kwenda mkutanoni wakati changamoto zote zinatatuliwa kwa wakati,, Mh: Stan Mabula piga kazi kaka tuna imani na wewe,,,
Hiyo mpya ya kina Haraka haraka????Endelee kuota Ndoto! Ikiwezekana lala sana ili ndoto zako zitimie! Hii ndio CCM Mpya! Mlilegezewa sana dadeki! Sasa kaja Mwamba anapiga kotekote hamfurukuti!nyuma hamtikisiki mbele hamchezi! Duniani hampo Akhera mnatafuttwa Ndegelek
Mlizificha ya nini hizo?Duuu kweli ni bonge la nyomi
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Pamoja na mafuso kusomba lkn bado ni kavu
Mbona hapo naona wamejaa chokolaa na machizi na watoto tu! Au kulipikwa wali?Wananchi wa mkoa wa mwanza wameanza kuionyesha ccm kwa vitendo kuwa wameichoka na hiyo inathibitishwa na ususiaji wa mikutano ya wabunge wa chama hicho mkoani humo.
Hapo ni jana wakati mbunge wa Nyamagana akihutubia mkutano wa hadhara.
Mwenye macho na atazame.....
View attachment 1122332
Hiyo mpya ya kina Haraka haraka????
Kuanzia huko kwa mwamba km uchaguzi ukiwa fair anapotezwa kwenye ulingo wa siasa saa nne tu asubuhi....
Mwanza mnakuwaga vigeugeu kama watu wa bukoba wala ndiziWananchi wa mkoa wa mwanza wameanza kuionyesha ccm kwa vitendo kuwa wameichoka na hiyo inathibitishwa na ususiaji wa mikutano ya wabunge wa chama hicho mkoani humo.
Hapo ni jana wakati mbunge wa Nyamagana akihutubia mkutano wa hadhara.
Mwenye macho na atazame.....
View attachment 1122332
Shimo la malayaBila dola ccm ni nyepesi sana
Umepanua Hadi pua kabisa unaongea kama mcheleJiandaeni Kisaikolojia! 2020 Wabunge wa Upinzani watakaorudi hawazidi 10 Nchi nzima Mwanza tunawapiga asubuhi tu! CCM Oyeeeeee!
Yani mnajidanganya sana CHADEMA hata wasipofika mkutanoni watu saizi tunauhakika na dereva((JPM) na gari lake........ Acha tufanye kazi saizi then 2020 tunafumba macho na kuweka tick kila penye rangi ya kijani na penye nyundo na spedi watupeleke 2025 maana hawana mpinzani na tumeielewa kazi ya JPMWananchi wa mkoa wa mwanza wameanza kuionyesha ccm kwa vitendo kuwa wameichoka na hiyo inathibitishwa na ususiaji wa mikutano ya wabunge wa chama hicho mkoani humo.
Hapo ni jana wakati mbunge wa Nyamagana akihutubia mkutano wa hadhara.
Mwenye macho na atazame.....
View attachment 1122332
Yani mnajidanganya sana CHADEMA hata wasipofika mkutanoni watu saizi tunauhakika na dereva((JPM) na gari lake........ Acha tufanye kazi saizi then 2020 tunafumba macho na kuweka tick kila penye rangi ya kijani na penye nyundo na spedi watupeleke 2025 maana hawana mpinzani na tumeielewa kazi ya JPM
Yani mnajidanganya sana CHADEMA hata wasipofika mkutanoni watu saizi tunauhakika na dereva((JPM) na gari lake........ Acha tufanye kazi saizi then 2020 tunafumba macho na kuweka tick kila penye rangi ya kijani na penye nyundo na spedi watupeleke 2025 maana hawana mpinzani na tumeielewa kazi ya JPM