CCM Mwanza kwisha


Hivi hapo ni Mwanza au kitongoji fulani katika jiji la Mwanza?
 
mtoa mada tunaomba picha ya eneo zima, hii bado hatuwezi kusema watu wamesusia. Imepigwa kipande kwa kulenga upande mmoja
 
Na Masha nae ni msukuma......
Ukabila utatumaliza baghoshaaaaa.....
 
Poleni sana kama mmefikia hatua ya kuona kama picha imepigwa kwa upendeleo
mtoa mada tunaomba picha ya eneo zima, hii bado hatuwezi kusema watu wamesusia. Imepigwa kipande kwa kulenga upande mmoja
 
Tuuunganishe nguvu tuliondoe kabisa kwa kulikataa hata kama wanaiba lkn itafikia wakati watashindwa kuiba
Hilo li chama nani analitaka ,limetuletea umaskini na ufukara nchi hii .
 
Jiandaeni Kisaikolojia! 2020 Wabunge wa Upinzani watakaorudi hawazidi 10 Nchi nzima Mwanza tunawapiga asubuhi tu! CCM Oyeeeeee!
Wanaweza wasirudi kabisa hata mmoja na hakuna anaebisha. Na ndo maana DED wanakumbatiwa wasimamie uchaguzi wakisaidiwa na rundo la polisi.
Siku ya kufanya uchaguzi ambao ni huru kabisaaaa....CCM ni kama kusukuma unywele. Na bahati nzuri wote tunalijua hilo, endeleeni kutegemea dola kuwachagulia viongozi.
 
Kwa kuongezea pia ni kuwa uelewa wa wapiga kura wa 2015 na 2020 utakuwa tofauti sana maana uvumilivu nao una mwisho
Uelewa bado sana sasa ebu wote tuwe na uelewa wa sheria huenda tukatatua pasipo nguvu huko nyamagana mpooooo
 
Mwisho wao upo wakati hata hao polisii watakapo amua kuliàchia jahazi lijizamie kama kule sudan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…