CCM Mwanza kwisha


Dawa ya jiwe ni nyundo litapondwapondwa hadi lipate moto litachezea Tatu bila Makundi yote ya ushindi yashaumizwa yanasubiri kulipa kisasi.
 
Hii ndio nyomi kweli ccm kwisheni hata picha za mbunge mwenyewe zinaonyesha uhalisia duh
Umeonaeeee?
Yaani kesha kata tamaa na sasa anajutia usaliti aliyo ufanya kwa cdm
 
Wavuvi hawana hamu Na walichofanyiwa wanasubiria kulipa kisasi.Biashara ya Samaki Na dagaa imevurugwa balaa,wengi wameisoma haswaa.
Kihere here chao hao wacha waisome namba
 
Mnyonge nyongeni laki haki yake mpeni.Hao wanaoonekana karibu ni watoto ila watu wazima wanaonekana ktk muelekeo aliotiza Mhe.ambao hamkutaka kuwaonyesha kwasababu zenu binafsi. Is not good at all.
Hakuna watu wazima hapo ni chekechea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…