Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,216
- 48,771
Hiyo nayo imeingia kwenye history. Mpaka tukanyoshewa vidole vya ukandamizaji.CCM ndio mulioshika mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Kwa wananchi wa hali ya kawaida, Huyo usiyemtaka ndiye alikuwa kipenzi chao.CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Kweli lazima wampende maana alivuruga masoko ya mbaazi, dengu, pamba, korosho, choroko n.kKwa wananchi wa hali ya kawaida, Huyo usiyemtaka ndiye alikuwa kipenzi chao.
Aligusa mioyo yao.
Broo hata wapinzani nao ni CCM. Wale wana/mna hubiri upinzani ila wandani wenye vyama ni wazalendo wafia nchi. Baadhi yenu mmepumbazwa akili na hili hamlioni. Kwa mfumo huu wa miili kuwa upinzani huku roho ikiwaza CCM unatarajia meli ije airport?Hiyo hati miliki ya CCM kutuletea Rais walipewa na nani?
CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Endelea kumuwaza JPMKweli lazima wampende maana alivuruga masoko ya mbaazi, dengu, pamba, korosho, choroko n.k
Hata mmeo asipokufanya vizuri unakuwa na hasira na JPM...CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Hili ndo jibu sahihi. Tena hao wapinzani uchwara wamemfanya mama kaze buti.Siku hiyo Marehemu akitamka hivyo nilikuwa naangalia tv mubashara, nilistaajabu Sana,!!!!!!
Ila kwa kweli nilimpendea moja tu Hakuwa na usanii au blahblah. Neno "UPEMBUZI YAKINIFU" Lilikufa kabisa.
Ila wapinzani ndiyo wanao,determine Rais awe wa aina gani. Wapinzani ndiyo walifanya tukomolewe.
Hii mimba ya Magufuli unajifungua lini?CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Wanapora maamuzi ya watanzania kwenye sanduku la kuraHiyo hati miliki ya CCM kutuletea Rais walipewa na nani?
CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Hatukujua kuwa nasi ipo siku tunge nyooshewa vidole na hata kutengwa na jumuia za kimataifa.Hiyo nayo imeingia kwenye history. Mpaka tukanyoshewa vidole vya ukandamizaji.
Miaka ya nyuma tukiwanyoshea vidole wabaguzi wa rangi na ma dictator popote ulimwenguni. Tuliwatukana SA , Zaire, Uganda , Malawi na hata US tulisimamia kucha kukataa uungwaji mkono makaburu. But this time yametukuta .
Alicho watendea wakulima wa korosho hata leo hii wanaugulia .Kweli lazima wampende maana alivuruga masoko ya mbaazi, dengu, pamba, korosho, choroko n.k
Upo sahihi sana ila kumbuka ktk msafara wa mamba pia kenge nao wapo.Broo hata wapinzani nao ni CCM. Wale wana/mna hubiri upinzani ila wandani wenye vyama ni wazalendo wafia nchi. Baadhi yenu mmepumbazwa akili na hili hamlioni. Kwa mfumo huu wa miili kuwa upinzani huku roho ikiwaza CCM unatarajia meli ije airport?