Kwenye Biblia Muhubiri 3:1 kwa kila jambo kuna majira yake. kwa hiyo jambo lolote likifanyika kabla ya majira yake ni hatari sana maana huleta matokeo mabaya. Haya yanayofanywa na JPM ni hatari maana yaweza kusambaratisha chama kwa kisingizio cha kusafisha chama. Kama kweli ana nia ya dhati ya kusafisha chama na nchi angeendelea na operesheni alizoanzisha za kuwafukuza wote walio na vyeti vya kufoji na wanaotumia madaraka vibaya kama Makonda. Yeye ameonyesha wazi kuwa na visasi na kuwazodoa wale wote wanaonesha kumkosoa yeye na hasa mtoto wake.
CCM msijidanganye kuwa ninyi ni chama pendwa na mnamalizaga mambo yenu kwa vikao vya ndani, la hasha mlipofika sasa sipo maana chama kina ongozwa na fikra na mawazo ya mtu mmoja tu ambaye hataki ashauriwe au kupingwa kile anachowaza yeye, je hii ndio ccm tunayoijua?
Kama mtaendelea kuchekelea mtavuna mabua maana hali siyo nzuri kwa sasa