CCM msikubali, leteni mgombea mpya

CCM msikubali, leteni mgombea mpya

Sina haja ya kutoa salamu, ila ninyi CCM ni chama kinachotegemewa hakuna namna maana kwenye Chadema nako hakuaminiki kabisa , hawa jamaa hata wakichukua nchi nao hawatabadili katiba.

Ila nyie Ma CCM uchaguzi wa mwaka 2025 msiruhusu huyu mama agombee tuleteeni majembe mengine hasa yale yanatofanana na Magufuli au Mkapa nchi hii inaweza kunyooka, ila tumekwisha
Unaijua CCM wewe? Wenzio walishaamua kwenda na mama hadi 2035 kaa kwa kutulia. Awamuu hii anamalizia ya JPM. Miaka yake 10 inaanza kuhesabiwa 2025 onwards
 
Ukweli mchungu ndugu yangu yumeisha kabisaa hata aje paroko hatoboi this time
 
Sina haja ya kutoa salamu, ila ninyi CCM ni chama kinachotegemewa hakuna namna maana kwenye Chadema nako hakuaminiki kabisa , hawa jamaa hata wakichukua nchi nao hawatabadili katiba.

Ila nyie Ma CCM uchaguzi wa mwaka 2025 msiruhusu huyu mama agombee tuleteeni majembe mengine hasa yale yanatofanana na Magufuli au Mkapa nchi hii inaweza kunyooka, ila tumekwisha
Namna chadema inavyoibia nchi na kutesa wananchi wake kisa mwekezaji
20230915_103626.jpg
 
Hakuna rais alokubalika ilhali akiwa bado madarakani. Yaani hata huyu tutakuja kumuona afadhali pindi atakapomaliza muda wake.
Muhimu ni wewe upambanie tumbo lako pamoja na familia yako. Yaani hao wenyewe wako pale kama career yao vile kwa hiyo we pambana mdau. Yaani pambana kivyakovyako. Usiamini kuna kiumbe duniani kitakuja kukubadilishia maisha yako.
 
Na mama kalijua hili ndio maana hajataka manadiliko ya Katiba
Unaijua CCM wewe? Wenzio walishaamua kwenda na mama hadi 2035 kaa kwa kutulia. Awamuu hii anamalizia ya JPM. Miaka yake 10 inaanza kuhesabiwa 2025 onwards
 
Hakuna rais alokubalika ilhali akiwa bado madarakani. Yaani hata huyu tutakuja kumuona afadhali pindi atakapomaliza muda wake.
Muhimu ni wewe upambanie tumbo lako pamoja na familia yako. Yaani hao wenyewe wako pale kama career yao vile kwa hiyo we pambana mdau. Yaani pambana kivyakovyako. Usiamini kuna kiumbe duniani kitakuja kukubadilishia maisha yako.
Sio kweli mbona jpm hakubaliki
 
Huyu mama anatumia mwanae aitwaye Abdul kupiga hela. Kuna deal la kijana huyo akishirikiana na waziri wa mambo ya ndani walivyokwapua mabilioni. Hiyo taarifa kila ikiletwa humu JF mods wanaiondoa haraka sana!
Niimeshaitafuta kila mahali siioni kulikoni au bado ni Taarifa fiche?
 
Sina haja ya kutoa salamu, ila ninyi CCM ni chama kinachotegemewa hakuna namna maana kwenye Chadema nako hakuaminiki kabisa , hawa jamaa hata wakichukua nchi nao hawatabadili katiba.

Ila nyie Ma CCM uchaguzi wa mwaka 2025 msiruhusu huyu mama agombee tuleteeni majembe mengine hasa yale yanatofanana na Magufuli au Mkapa nchi hii inaweza kunyooka, ila tumekwisha
waweke yeyeote iwe huyo mama hata wakimweka mwijaku wanashinda kwa kishindo.

mgawanyiko na uadui, tamaa na ubinafsi wa upinzani ndio wepesi wa Ushindi wa kishindo wa mwijaku 2025.
 
Asubuhi ilikuwepo na ilikuwa imeshika kasi kabla mkono mrefu wa serikali haujaifikia
Majukumu yaliniponza
Sema lisemwalo lipo na kama halipo linakuja
Any way huu. ni wakati Wa kuomba Mungu ukipata riziki yako na watoto mengineyo tumwachiie Mwenyenzi Mungu
 
Sina haja ya kutoa salamu, ila ninyi CCM ni chama kinachotegemewa hakuna namna maana kwenye Chadema nako hakuaminiki kabisa , hawa jamaa hata wakichukua nchi nao hawatabadili katiba.

Ila nyie Ma CCM uchaguzi wa mwaka 2025 msiruhusu huyu mama agombee tuleteeni majembe mengine hasa yale yanatofanana na Magufuli au Mkapa nchi hii inaweza kunyooka, ila tumekwisha
Unamuomba shetani awaletee mchungaji siyo
 
Hakuna rais alokubalika ilhali akiwa bado madarakani. Yaani hata huyu tutakuja kumuona afadhali pindi atakapomaliza muda wake.
Muhimu ni wewe upambanie tumbo lako pamoja na familia yako. Yaani hao wenyewe wako pale kama career yao vile kwa hiyo we pambana mdau. Yaani pambana kivyakovyako. Usiamini kuna kiumbe duniani kitakuja kukubadilishia maisha yako.
mkuu ankol tunapambana sana lakini mwisho wa siku mustakbali wetu na maisha yetu na uzao wetu bado unategemea maamuzi ya wanasiasa,, no way out,, ndio maana tuna force tu ivo ivo,,
 
Kuondoka kwa jpm yaani ladha ya maisha hakuna au imeondoka kabisa..Saa hizi tulikuwa sebuleni tunaangalia taarifa ya habari nani anatuchelewesha akae benchi.
 
Mama anatosha ..chadema moto unafukuta nasikia slaa atasimama
 
Mpya yupi anaeuzika.lango lipo wazi upinzani waamue tu kufunga au kubutua tu
 
Sina haja ya kutoa salamu, ila ninyi CCM ni chama kinachotegemewa hakuna namna maana kwenye Chadema nako hakuaminiki kabisa , hawa jamaa hata wakichukua nchi nao hawatabadili katiba.

Ila nyie Ma CCM uchaguzi wa mwaka 2025 msiruhusu huyu mama agombee tuleteeni majembe mengine hasa yale yanatofanana na Magufuli au Mkapa nchi hii inaweza kunyooka, ila tumekwisha
Magufuli alikuwa Rais wa hovyo kuwahi kutokea katika historian ya Tanganyika ila wajinga hamkielewa!!
Ameitia taifa hasara kubwa mno!! Ila wajinga hamkijua
Alileta ukabila wa hatari ila wajinga hamkijua
Alikuwa anasubiri vikwazo vya wenye akili nakuhakikishia hata Zimbabwe ingekuwa na afadhali ila wajinga hamkijua
Alikuwa hajui anafanya nn ila wajinga hamkijua
Aliua mfumo wa PPP ila wajinga hamkijua
Amefilisi mifuko ya hifadhi za jamii ila wajinga hamkijua
Alishindwa hata kuongeza mishahara ila wajinga......
Alishindwa kuajiri Kwa miaka 5 ila wajinga ......
Uwekeza ulipungua wajinga ...
Alikopa kuliko woooote wajinga ........
 
Back
Top Bottom