CCM msikubali, leteni mgombea mpya

CCM msikubali, leteni mgombea mpya

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,989
Reaction score
4,162
Sina haja ya kutoa salamu, ila ninyi CCM ni chama kinachotegemewa hakuna namna maana kwenye Chadema nako hakuaminiki kabisa , hawa jamaa hata wakichukua nchi nao hawatabadili katiba.

Ila nyie Ma CCM uchaguzi wa mwaka 2025 msiruhusu huyu mama agombee tuleteeni majembe mengine hasa yale yanatofanana na Magufuli au Mkapa nchi hii inaweza kunyooka, ila tumekwisha
 
Sio kwamba ccm ni mbaya au cdm ni mbaya ila akili za hao viongozi wetu kwenye maendeleo ya wananchi ndio kuna tatizo. Kama kiongozi hawezi kutetea nchi yake ni kitu mbaya sana. Ila ngoja muda utoe dawa yake
 
Luhaga Mpina atatoka CCM na sisi tutampigia kura popote pale alipo.

Tunamfuata kama tunavyomfuata Mandonga...
 
Mbona aliangushwa chaguzi za NEC ngazi ya mkoa na taifa na sijasikia mmesusa? Huko CCM wamejaa wanafiki tu hata akitoka atajikuta mwenyewe tu na akikaa vibaya na Jimbo ataporwa na hakuna kitu mtafanya.

Mkiambiwa tume huru mnakua wakali ila siku mkifukuzwa ndio mnaanza kulia Lia kuibiwa kura.
 
Samia anatosha, mpaka sasa CCM hakuna mchapakazi na mtu maarufu kumzidi dk Samia Suluhu. Tunaenda na mama mpaka 2030
 
Sina haja ya kutoa salamu, ila ninyi CCM ni chama kinachotegemewa hakuna namna maana kwenye Chadema nako hakuaminiki kabisa , hawa jamaa hata wakichukua nchi nao hawatabadili katiba.

Ila nyie Ma CCM uchaguzi wa mwaka 2025 msiruhusu huyu mama agombee tuleteeni majembe mengine hasa yale yanatofanana na Magufuli au Mkapa nchi hii inaweza kunyooka, ila tumekwisha
Sukuma gangi mnajifanya kumchukia mwenyekiti wenu nnapigia kampein ccm,watanzania tumeichoka ccm tunataka chama tofauti na ccm,tunataka kuona sura mpya sio kikundi cha watu walewale,mwenyeki wenu kwamujibu wa katiba yenu lazima agombee mama Abuu anaushawishi anatosha kuwawakilisha sukumagangi pia.
 
Huyu mama anatumia mwanae aitwaye Abdul kupiga hela. Kuna deal la kijana huyo akishirikiana na waziri wa mambo ya ndani walivyokwapua mabilioni. Hiyo taarifa kila ikiletwa humu JF mods wanaiondoa haraka sana!
 
FB_IMG_1694777804567.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina haja ya kutoa salamu, ila ninyi CCM ni chama kinachotegemewa hakuna namna maana kwenye Chadema nako hakuaminiki kabisa , hawa jamaa hata wakichukua nchi nao hawatabadili katiba.

Ila nyie Ma CCM uchaguzi wa mwaka 2025 msiruhusu huyu mama agombee tuleteeni majembe mengine hasa yale yanatofanana na Magufuli au Mkapa nchi hii inaweza kunyooka, ila tumekwisha
Kwenda zako.

Nani kama mama?
 
Hao ulio wataja kama yangekuwa majembe wangetuachia katiba mpiya naona wewe utawala wamkapa ulikuwa bado mimba ndio maana unamuita jembe,pia utawala magu ulikuwa bado unanyonyo
 
Sio kwamba ccm ni mbaya au cdm ni mbaya ila akili za hao viongozi wetu kwenye maendeleo ya wananchi ndio kuna tatizo. Kama kiongozi hawezi kutetea nchi yake ni kitu mbaya sana. Ila ngoja muda utoe dawa yake
Tanzania unasumbuliwa na ufisadi tangu tupate uhuru hakuna rais alie wahi kupambana na ufisadi na rushwa ila wakenya upenda kusema kuwa tz hakuna rais mbaya sababu kila rais nchi hii akimaliza muda wake uondoka na mabirioni ya fedha pamoja na mawaziri wake alafu watzania uanza kumsifia hovio
 
Sukuma gangi mnajifanya kumchukia mwenyekiti wenu nnapigia kampein ccm,watanzania tumeichoka ccm tunataka chama tofauti na ccm,tunataka kuona sura mpya sio kikundi cha watu walewale,mwenyeki wenu kwamujibu wa katiba yenu lazima agombee mama Abuu anaushawishi anatosha kuwawakilisha sukumagangi pia.
 
Huyu mama anatumia mwanae aitwaye Abdul kupiga hela. Kuna deal la kijana huyo akishirikiana na waziri wa mambo ya ndani walivyokwapua mabilioni. Hiyo taarifa kila ikiletwa humu JF mods wanaiondoa haraka sana!
Hebu iweke hapa tuione
 
Sukuma gangi mnajifanya kumchukia mwenyekiti wenu nnapigia kampein ccm,watanzania tumeichoka ccm tunataka chama tofauti na ccm,tunataka kuona sura mpya sio kikundi cha watu walewale,mwenyeki wenu kwamujibu wa katiba yenu lazima agombee mama Abuu anaushawishi anatosha kuwawakilisha sukumagangi pia.
Ccm. Hata ikatawala miaka miamoja kamwe hakuma maendeleo.
 
Back
Top Bottom