fumbua macho kuna kitu hakipo sawa siasa zinafanya wanaolinda usalama kuuhujumu usalama wenyewe.wakati utatuelezaWewe ndiyo umepotea kabisa, kuwa na tatizo kwenye mfumo wa kiuasalama kina uhusiano gani ni huyu mchonganishi Yeriko?
Possibly kwa sababu hii video ukiiangalia imekaa kimtego, mtego; Na anapoongelea Uvamizi wa Vituo vya polisi kama ushirombo si kweli maana Slaa zote walizikamata na watuhumiwa kutiwa mbaroni.
Hivyo hii Video inaweza kweli ikawa na malengo yale yale ya Majambia ya IGP Mahita kipindi CUF ipo kwenye Chart.
Ndio maana wengine tunaamini siasa sasa ziache kupiga chini ya mkanda kwa ustawi wetu sisi raia, wanasiasa wakae chini waongee ikikika hatua fulani ni swala la kitaifa na tuna msimamo wa pamoja despite tofauti zetu za sera.
Yaani wewe unaona askari waliouwawa kinyama wakipambana na wahalifu....bado unaamini ni mipango ya CCM
Unaona mabomu yaliyo rushwa arusha mara kadhaa na kujeruhi......bado una amini ni mipango ya CCM
Hata pale watu wanapojitokeza hadharani bado tunaaamini ni mipango ya CCM....kama sio upumbavu sijui ni nini.
Hivi what is CCM going to achieve at the end, CCM ishutumiwe kuimiliki NEC, CCM ishutumiwe kuwa na mbinu chafu za daftari la kura yaani kama kuna ukweli wa hayo tricks zote walizo nazo bado pia waje na mbinu za kigaidi?
Mtanzania anapata faida gani anapokata kuliona hili tatizo kama lilivyo, ifike wakati siasa zisikaribishe adui mkubwa kisa uchu wa kuiona ikulu.

Tatizo la wanasiasa njaa kila kitu wanachukulia kisiasa.., kwani je vituo havijavamiwa? Polisi hawajauawa? Ni suala la kuwa makini na kuviachia vyombo vya usalama vifanye kazi yake.., yeriko na wafuasi wako ni bora muda huu mkae kimya sio kuanza kuaminisha watu kuwa hizi ni propaganda.Miongoni mwa taasisi zinazoaminiwa na umma ni jeshi letu nadhani watatusaidia kuwabaini hawa vibaraka wanaotaka kuliingiza taifa matatizoni.
Yericko,
Unaleta ujinga na siasa za kijinga kwenye swala zito kama hili! Hata siamini ninachokisoma, sasa kama huamini we tulia wakianza rasmi na kufika hadi makanisani ndio utarudi kuleta ujinga wako hapa! Ishu hii ni ya kitaifa zaidi, sio ccm wala chadema
Unajuaje kuna nani nyuma yao, unajuaje labda huyo sponsor anasubiri aone kweli kuna nguvu ngazi ndio hawaingizie vitu vya kazi na yeye.Unajua ugaidi wewe? Nenda kaone Al Shabaab. Boko Haram. ISIS. Wengine wanasema huanza kidogo kidogo. Huanza kidogo wapi? Watu wenyewe hata ukakamavu zero wanasema gaidi.
Tofautisha matukio unayoyazungumzia na hiliHappy;kwa nini una moyo mgumu kiasi hiki?
Ushahidi wa ugaidi wa Lwakatare wa CHADEMA si ulitangazwa majukwaani na viongozi wa ccm kama Nape na Mwigulu?
Ina maana wakati Mwigulu ana apa bungeni kwa jina la Mungu wake kuwa ana ushahidi umeshasahau au hukwepo?
Inaelekea hujui siasa za Tanzania zimefikia kiwango gani!
Au kwa mfano ule ugonjwa wa Dengue ulikuwa kweli au feki!
Nakushauri utafakari na umwombe msamaha mleta mada.
Unajua ugaidi wewe? Nenda kaone Al Shabaab. Boko Haram. ISIS. Wengine wanasema huanza kidogo kidogo. Huanza kidogo wapi? Watu wenyewe hata ukakamavu zero wanasema gaidi.