navajo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 587
- 910
Mtoa mada umeenda mbali sana, kwa haraka haraka nataka kujua kama wewe timamu kidogo. Katika huo urojo ambao umetupia hapa juu, mpaka sasa ccm inamajimbo kama 300 na upuuzi na vyama vingine kama 100 na ushee.
Plan yenu kuchukua majimbo gani? Maana urais 2015 UTAKUWA CCM ila tuko bize tumpe nani kutokana na utajiri wa demokrasia na hazina ya wagombea. Huko kwako mathayo aka slaa anaona yeye kama mungu kathibitisha nafasi yake ya uraisi wakati alimkataaa.
Hilo tu