CCM mpo nyuma ya mchezo huu? Mwaitambua hatari iliyopo??

CCM mpo nyuma ya mchezo huu? Mwaitambua hatari iliyopo??

Kwa hisani ya kamanda mkuu Chagonja mapambano yanaenderea mura..ikibidi hadi meli za kivita zitaingilia kati!! majeshi yanapambana kweri kweri!!
 
Possibly kwa sababu hii video ukiiangalia imekaa kimtego, mtego; Na anapoongelea Uvamizi wa Vituo vya polisi kama ushirombo si kweli maana Slaa zote walizikamata na watuhumiwa kutiwa mbaroni.

Hivyo hii Video inaweza kweli ikawa na malengo yale yale ya Majambia ya IGP Mahita kipindi CUF ipo kwenye Chart.

Yaani wewe unafikiria jina 'Slaa' tu mpaka unaandika 'Slaa' badala ya 'silaha'.
 
Nashanga mpaka sasa Yericko uko mtaani,hujui tu ni kiasi gani unahatarisha amani ya Tanzania na hizo propaganda zako za uongo,kweli yanipasa niamini Jeshi letu la police ni dhaifu kama video inavyosema, Tungekuwa na jeshi imara wewe Yericko Nyerere ilitakiwa uwe mahabusu
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Njia ya muongo wahenga walisema ni fupi kama miguu ya chupi, CCM wanajichimbia kilindini
 
JF is a great thinkers place and for this I obeyed the appreciation
mleta Uzi nimekuzimia salute bro
that is what exactly this ccm wanafanya
 
inaonekana now days JF imevamiwa na Mamluki wanaopotosha yanayoandikwa hapa ili malengo ya mabwana zao waliowatuma yatimie.But you can not hide the thruth by lies.na Muda ukifika yote yatakuwa wazi,Tanzania ya leo ni kama ile hadithi ya mfalme aliekuwa anatembea uchi hili hali akijua amevaa johoo la thamani mno.
 
inaonekana now days JF imevamiwa na Mamluki wanaopotosha yanayoandikwa hapa ili malengo ya mabwana zao waliowatuma yatimie.But you can not hide the thruth by lies.na Muda ukifika yote yatakuwa wazi,Tanzania ya leo ni kama ile hadithi ya mfalme aliekuwa anatembea uchi hili hali akijua amevaa johoo la thamani mno.

Wakati ndio huu wa miti kusema na mawe kujibu
 
JF is a great thinkers place and for this I obeyed the appreciation
mleta Uzi nimekuzimia salute bro
that is what exactly this miku.........bwajinga ya ccm inafanya

One love mkuu,
 
Kuna mambo ya aina hii mengi ambayo mwisho wake hauna uthibitisho Mf.ishu ya ugaidi Westgate ambapo wote waliondoka hamna hata aliyejeruhiwa wakt huo Mkuu wa kaya kenya alikua aende mahakamani ila akapata sababu kwamba kuna tukio la kigaidi mpaka kesi imefutwa na haieleweke mtoto wa Raila aliporopoka nae akapotea wakasema ni sumu. Nigeria wanatumia ujinga wa aina hiyo wanasingizia boko haram wanajiongezea muda madarakani. Wakati America inaenda kwa uchaguzi walijifanya wa wamemkamata Osama ila hawakutaka tuone wakamzika eti baharini ahahah ndio haya mapicha picha sijui
 
Hata kama hili suala ni la mlengo wa kisiasa lakini linapaswa kuangaliwa kwa jicho la tatu na vyombo vya usalama..kwani hata maadui wa taifa hili wanaweza kutumia mwanya huu wa ugaidi kupenyeza watu wao na kuibomoa amani ya taifa letu ambayo CCM hawapendi kuiona....
 
Yericko Nyerere

This game changeover plan the state (CCM) is playing is governed by Hegelian principle as stated below:

1. Thesis
Create conflict

2. Antithesis
Create opposition to conflict; eg, fear, panic, hysteria.

3. Synthesis
Offer the solution to the problem created by step one. Change, which would have been impossible without the proper conditioning (steps one and two), is achieved.

Wenye akili tunajua mchezo wa kijinga unaochezwa na CCM.

The youth fighting against each other because of the politicians, we call it divide n rule - Bob Marley.

Mtatawaliwa Milele
 
Last edited by a moderator:
Ulichoandika pasi na shaka ni kweli tupu...
 
Tuna ngome za ubunge zaidi ya 250 sijaona mbugila yoyote wa kutia mguu. Achilia mbali majimbo ambayo yatayorudi nyumbani? Ndo maana tuko bize na wakumpitisha katika uraisi, kazi kwenu huko maana nakumbuka CUf mliwaita CCM B na nyinyi sasahivi mko kwenye plan muwageuze CHADEMA B. Masikini cuf

Unajua kwa kijana yeyote mwenye mwonekano wakuwa kichwa cha familia huwa anaonekana mapema kabla hata hajaoa ,unajua kuna mambo mengine hata usipoyasikia ila kwa macho ya kibinadam unaweza tambua, sawa hatukatai kwamba ccm ni inajina zuri la kutamkika sawa kweli mnajina zuri sana CHAMA CHA MAPINDUZI ila Tatizo ni nyie mliopo ndani ndio wabaya mm silaumu jina la chama ila nawalaumu ninyi mliomo ndani, kwanza hampendani, mmeunda makundi then mnasema mko busy kutafuta raisi maana mmejawa na hazina ya demokrasia mnapigana vijembe, hv mfano wanaomtukana EL akiwa mwnyekiti wenu baadae mtahama chama? kuunda makundi yenyewe inaonyesha jinsi gani amko pamoja na makundi yanatokana nabkila mtu kutaku kupata kula mbona wapinzani sijawahi sikia? hv nakweli mnajipa matumaini kurudisha majimbo yaliyochukuliwa na upinzani? . mimi siwalaumu wote wanaoshabikia haya uenda mnalazimishwa kwakuwa mkikataa mtakosa pakula. na si wote washabiki wenu ni wenzenu wengine wanasubiri mkianza kugawa pesa tuzile alafu kwenye kura tutajua. kweli mna jina zuri la chama ila tatizo mnaoshabikia na kuunda chama ndio shida. kweli laiti ungekaa nakufikiria usingeongee upuuzi hunu ndani.
 
Tuambie huyo alifukuzwaje TISS. Unaanzisha habari unaiiacha juujuu? Mdau funguka
 
nilishangazwa kusikia wale amaa hatukuwapata, tuekuta silaha za jadi pikipiki na chakula. Kisha hali ipo shwari watu waendelee na kazi zao. Mi nilitegemea kusikia bahati mbaya wametoroka na silaha . Eneo lote la km kadhaa lipo chini ya ulinzi mkali kwa kipindi kirefu kwa uchunguzi zaidi
 
Where we dare to talk openly.... Mm napita tu ngoja waje ivo vibaraka.
 
Ukiangalia video hii unaweza kujiuliza maswali kama hv hao wanaojiita magaidi mbona hayana muonekano wa kigaidi.
Pia ni wazi kabsa huu ni mpango wa kutengenezwa ili wamseme fulani ni mbaya....hapa serikali mmekosea kwani mnaweza kuleta taharuki mtakayoshindwa kuizuia.

Mungu ilinde Tanzania na waangamize wale wote wenye nia mbaya na Taifa hili
 
Back
Top Bottom