Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,816
- 8,667
Ngosha_(nyi) wasukuma/wanyamwezi mpo zaidi kidogo ya 10 million. Ni eneo la kimkakati kwa wasaka madaraka, mkiamua mtaibadilisha nchi kisiasa, kiuchumi, kijamii nk! Lakini kwasababu hivi ndivyo mnavyowaza basi mtabaki kutumika. Mtabaki kuwinda walemavu wa ngozi, mtabaki kuuwa vikongwe, mtaendelea kuwa eneo lenye watu duni kijamii ktk karne hii? Wachaga kutaka utawala wa nchi hawahitaji mazingaombwe bali wana sifa zote! Kuwa CCM au CDM hakuondoi uwezo wa mtu ku_ reason, ninyi mnaoshabikia vyama hivyo mnakera na kuudhi mnapotoa michango na mawazo yenu ktk jukwaa linalopaswa kuwa_ neutral.
The presenter of these S.H.I.T graffiti is not quite 'NEUTRAL'!
I USED TO ADMIRE HIM, PARTLY BECAUSE OF HIS GREAT SURNAME, BUT I'VE JUST DISCOVERED THAT I ADMIRED A NUT OUT OF A NUT HOUSE!