CCM Mpeni Ukweli Magufuli, Ajiandae Kisaikolojia

Mbona huyo mpiga picha wako hajaonesha watu waliokaa jukwaa kuu? Kama watu walikuwa wachache hivyo, alishindwa nini kupiga akiwa karibu!

Pale haliangaliwi Jukwaaa kuu kwani Jukwaa kuu siku zote huwa wanakaa Viongozi. Hivyo mkutanoni viongozi ni wachache kuliko wananchi.

DIALO ni janga la Taifa pamoja na STARTV yake
 
Nimehudhuria mikutano miwili ya Pombe Magufuli Arusha Mjini na Moshi.

Wengi wanazombewa na takrima,wengi ni ccm mchana,picha zinazotumiwa na vyombo vya habari zinaunga ungwa na mikutano mingine.

Ukweli usio na itikadi ni kuwa mgombea wa ccm hali yake ni ngumu huku akikatishwa tamaa zaidi na wilaya ya ARUMERU na Monduli ambayo hakufanikiwa kufanya mkutano wowote ktk eneo hilo analotoka Lowassa.

Unafichwa na nani? wakati mwenyewe Magufuli anakumbusha kila mara kwenye mikutano yake kuwa yeye si mwana siasa yeye ni KaziTu hakuna longo longo za kisiasa.

Mtaisoma namba mwaka huu. CCM mbele kwa mbele.

#HapaKaziTu.
 
Nimehudhuria mikutano miwili ya Pombe Magufuli Arusha Mjini na Moshi.

Wengi wanazombewa na takrima,wengi ni ccm mchana,picha zinazotumiwa na vyombo vya habari zinaunga ungwa na mikutano mingine.

Ukweli usio na itikadi ni kuwa mgombea wa ccm hali yake ni ngumu huku akikatishwa tamaa zaidi na wilaya ya ARUMERU na Monduli ambayo hakufanikiwa kufanya mkutano wowote ktk eneo hilo analotoka Lowassa.

Jitizamie hapa ! ......maana wewe ni wale wale aliowasema Mkapa !

Arusha nyomi !.JPG Arusha nyomi2.JPG
Hii ni Arusha

Moshi CCM.JPG Moshi CCM1.JPG
Moshi Mjini !

Monduli-Ndito.JPG

Welcome to Monduli !
 
Nimehudhuria mikutano miwili ya Pombe Magufuli Arusha Mjini na Moshi.

Wengi wanazombewa na takrima,wengi ni ccm mchana,picha zinazotumiwa na vyombo vya habari zinaunga ungwa na mikutano mingine.

Ukweli usio na itikadi ni kuwa mgombea wa ccm hali yake ni ngumu huku akikatishwa tamaa zaidi na wilaya ya ARUMERU na Monduli ambayo hakufanikiwa kufanya mkutano wowote ktk eneo hilo analotoka Lowassa.
Hivi wewe hujui kuwa unajilisha upepo. magufuli hawezi kulinganishwa na Lowassa kwa ubora. Lowassa saizi yake ni Dovutwa na Hashimu Rungwe.
 
propaganda zako nii mbovu.monduli hhakufanya mkutanoo eenh? mambo yanaluka laivu we unaleta porojo,pamoja na yote 25 ndo mzizi unakatika .ushauri zidisha nguvu ya kumnadi lowasa ccm achana nao usishindane wala kujilinganisha nao utapotea
 
Yaan ni kala dagaa wa nyapara alaf kalala uchi we unafkiri nyapara atakula nn?
 
Ni ajabu na kweli,mimi mwenyewe nilihudhuria mkutano ule na idadi ya watu ilikuwa ya kawaida sana ila nilichokuja kukiona star tv sikuamini.Inawezekanaje watu wa aina hii kuliongoza taifa letu.Halafu ooh eti tusibaki vituoni kulinda kura!! Hivi bila ya kulinda kura 2010 tungewapata wapi kina Wenje,Lema,Nyerere,Kiwia etc.Ulinzi wa kura ni wajibu wa kila mwanamabadiliko,Lets wait for Lowassa Day-October 25.

Wewe acha uongo, tena ww ni mwongo sasa, usiingilie taaluma za watu, kimsingi hujui chochote kile na kwa kuwa umezoea kukaririshwa mambo, itafikia mahala utaonekana kama hukwenda shule hata drs la kwanza2, ule mkutano ulikuwa Live na cc tumeuona vizuri ss ulitaka adobe ifanye nn au kwa akili yako finyu unadhani adobe inaweza kufanya nn? Mm ni mtaalamu hizo software zote, Adobe, Final cut pro na Avid media composer, ss ebu eleza huo ujinga wako ili nikusaidie kuondoa huo ujinga kichwani pako.
 
Watu wawe wengi wachache haituhusu,tunaangalia sera na uchapakazi pia uadilifu, Rais Ni MAGUFULI MBWEMBWE KULEEE KWA....
 
Wewe acha uongo, tena ww ni mwongo sasa, usiingilie taaluma za watu, kimsingi hujui chochote kile na kwa kuwa umezoea kukaririshwa mambo, itafikia mahala utaonekana kama hukwenda shule hata drs la kwanza2, ule mkutano ulikuwa Live na cc tumeuona vizuri ss ulitaka adobe ifanye nn au kwa akili yako finyu unadhani adobe inaweza kufanya nn? Mm ni mtaalamu hizo software zote, Adobe, Final cut pro na Avid media composer, ss ebu eleza huo ujinga wako ili nikusaidie kuondoa huo ujinga kichwani pako.

kijana wa IT Masaki naona unatetea taaluma yako
 
Umepaniki.Utaalamu gani ulionao wewe au elimu uchwara,toka lini Moshi na maeneo yote ambako watu wamejitambua wakaipenda ccm kiasi hicho.Akili ndogo mtatumiwa sana mwaka huu
 
Wadau picha za kina mama wa monduli walioshika mabango ya magufuli ilipigwa wakati samia suluhu alipofanya kampeni monduli..
Tunaomba picha halisi ya mkutano wa Magufuli monduli.
 
Aisee wewe ulikuwa Unawaza kama mimi, Mtwara walibeba wasanii, Moro wasanii.

Ukiangalia kwa makini mikutano inajaa waangalia burudan, watoto na akina mama wachache hawa ndio ccm blood.

Sijui wanajitathimn vip hawa jamaa, duh.
Ukishapiga kura yako rudi nyumbani
 
Back
Top Bottom