Nimepata taarifa kuwa alipita mwanga leo akakutana na mtiti wa hendry! Kijana kabatiza/kasilimisha raia karibia wote hapo jimbon mwanga! Huku mwanza mccm yamebak kupiga siasa za ukabila tu!
Pia leo samia sululu kaja na kina snura akakuta watoto wa shule ya msingi wita tu
Ila vipeperushi vya Lowasa ni vichache sana vijijini kuliko vile vya ccm. Hata act wamejitahidi kuzambaza bendera zao na vipeperushi. Kwa mfano nilipita majuzi hii barabara ya Dsm mpaka Tunduma na kugundua upungufu huo.CCM kwa sasa wameivamia JF kwa fujo, wanaanzisha threads za kuiponda ukawa na kama haupo makini unaweza kuwaamini. Lakini mi nina imani hatutakuwa derailed na propaganda zao. Viashiria vyote mijini na vijijini vinaonesha CCM inaanguka.
Makamanda wamepagwa ghafla.
Nimehudhuria mikutano miwili ya Pombe Magufuli Arusha Mjini na Moshi.
Wengi wanazombewa na takrima,wengi ni ccm mchana,picha zinazotumiwa na vyombo vya habari zinaunga ungwa na mikutano mingine.
Ukweli usio na itikadi ni kuwa mgombea wa ccm hali yake ni ngumu huku akikatishwa tamaa zaidi na wilaya ya ARUMERU na Monduli ambayo hakufanikiwa kufanya mkutano wowote ktk eneo hilo analotoka Lowassa.
" Chema cha Jiuza Kibaya Chajitembeza " UKAWA hata wasipo tumia wana muziki na mabango, Tayari walisha jiuza kwa Wananchi. Kilichobaki ni kushika hatamu tu.Ila vipeperushi vya Lowasa ni vichache sana vijijini kuliko vile vya ccm. Hata act wamejitahidi kuzambaza bendera zao na vipeperushi. Kwa mfano nilipita majuzi hii barabara ya Dsm mpaka Tunduma na kugundua upungufu huo.
kweli ukapimwe akili maana hujielewi. so arusha na moshi ndo umeona ndo tanzania yote?
Magufuli ukimsikiliza utaelewa kuwa anajua hashindi.
kura zote tumpe lowassa tu..maana hakuna namna nyingine!
nimehudhuria mikutano miwili ya pombe magufuli arusha mjini na moshi.
Wengi wanazombewa na takrima,wengi ni ccm mchana,picha zinazotumiwa na vyombo vya habari zinaunga ungwa na mikutano mingine.
Ukweli usio na itikadi ni kuwa mgombea wa ccm hali yake ni ngumu huku akikatishwa tamaa zaidi na wilaya ya arumeru na monduli ambayo hakufanikiwa kufanya mkutano wowote ktk eneo hilo analotoka lowassa.
Mkuu CCM kanda ziwa wasahau kabisa kupata kura huku, wajaribu kwingine.