CCM Mpeni Ukweli Magufuli, Ajiandae Kisaikolojia

Aliyemsikia Magufuli akisema kule Vunjo kuwa atampa uwaziri Mrema lazima atatambua kuwa keshajua hashindi sasa anafanya komedi kama vile vikundi anavyotembea navyo.
 
Nimepata taarifa kuwa alipita mwanga leo akakutana na mtiti wa hendry! Kijana kabatiza/kasilimisha raia karibia wote hapo jimbon mwanga! Huku mwanza mccm yamebak kupiga siasa za ukanila tu!
Pia leo samia sululu kaja na kina snura akakuta watoto wa shule ya msingi wita tu
 
Nimepata taarifa kuwa alipita mwanga leo akakutana na mtiti wa hendry! Kijana kabatiza/kasilimisha raia karibia wote hapo jimbon mwanga! Huku mwanza mccm yamebak kupiga siasa za ukabila tu!

Mkuu CCM kanda ziwa wasahau kabisa kupata kura huku, wajaribu kwingine.
 
Nimepata taarifa kuwa alipita mwanga leo akakutana na mtiti wa hendry! Kijana kabatiza/kasilimisha raia karibia wote hapo jimbon mwanga! Huku mwanza mccm yamebak kupiga siasa za ukanila tu!
Pia leo samia sululu kaja na kina snura akakuta watoto wa shule ya msingi wita tu
hayo ndio majibu tosha kwa sasa
 
CCM kwa sasa wameivamia JF kwa fujo, wanaanzisha threads za kuiponda ukawa na kama haupo makini unaweza kuwaamini. Lakini mi nina imani hatutakuwa derailed na propaganda zao. Viashiria vyote mijini na vijijini vinaonesha CCM inaanguka.
 
Hamna papara hamna mbwembwe hamna porojo. Mwizi anakamatwa kimyakimya!
Hivi ccm wanajisikiaje kila wanapoichafua ukawa watz ndo wanazidi kuipenda?
Kete yao ya mwisho ni kumtuma kova kutangaza hakuna tena mokusanyiko ya kampeni coz kuna tishio la al shabab.😱😱
 
Back
Top Bottom