shalolizo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2013
- 336
- 204
Ni aibu sana kwa taasisi kubwa kama CCM ambayo inaongozwa na mchumi wa daraja la kwanza mh mwigulu mpaka leo hawajawalipa watumishi wao mishahara ya mwezi wa 12,,nimekutana na rafiki zangu wanaofanya kazi huko wanalalamika tu njaa,,inasemekana fedha za mishahara zote wamejilipa akina mwigulu na nape,,