CCM mnawakomoa wananchi, sio UKAWA!

CCM mnawakomoa wananchi, sio UKAWA!

kumbe kujenga barabara nk ni hisani sio wajibu?kwahyo hizi kodi tunalipa kwa ajili ya MAFISADI tuu?kwahyo wasipoleta maendeleo tusihoji kwakua sio wajibu ni hisani tu? we natamani hata nione sura yako maana nahisi ubongo wako umeoza kama wa nape.

Naam ni hisani na wajibu pia. Bila hisani utatimiza wajibu? mbona wa kabla ya Kikwete hawajatimiza hisani wala wajibu? walikuwa hawana hisani au wajibu? Fikiri.
 
Kwani hao Wabunge wa upinzani si walisema kuwa watawaletea maendeleo wananchi? Inakuwaje wanaiangukia CCM?

Swal lako la kitoto kwl sidhan kama unaupeo wafikra, wabunge ni wawakishi tu wanaotakiwa kuleta maendelea ni serekal hii ya ccm kwa wananchi wake, bac tufanye hv kikwete kachaguliwa na watu milion 5 na haliyakuwa watanzania wapo zaid ya milion 40, xo wahudumiwe hao milio 5 waliomchagua tu? Fikir kwa kichwa chako usifikiri kwa makalio.
 
umeongea vizuri sana mkuu. kuna baadhi ya mijitu, hasa hii mibuku 7 ianadhani kwamba maendeleo huletwa na CCM wakati ni kodi zetu ndizo hutumika kuleta maendeleo. kinachokosekana kwa maCCM ni usimamizi dhabiti wa kodi hizi, ndio maana nchi inazidi kudidimia kiuchumi na wananchi kuzidi kuwa masikini wakati mafisadi wa CCM wanajineemesha kwa kutafuna rasimali za taifa.

View attachment 221022

cc: FaizaFoxy, MwanaDiwani, msalani, T 2015 CCM East African Eagle, Ritz, mjepo, laki si pesa, Agogwe, gsu, Simiyu Yetu, thatha, TataMadiba, CHAMVIGA, et al.
 
Last edited by a moderator:

Porojo nyingi, miaka 44 ya Uhuru uliona nani kabla ya Kikwete akipeleka maendeleo, Kigoma? Kusini? Tanga, Tabora?

Leo tunayaona huko.

We mwanamke tatizo umesoma madrasa sana afu elimu dunia umeiacha ndo maana huna uwezo wakufikiri mbali unafikiri pafupi sana kama maisha ya inzi
 
Maendeleo hayaletwi na chama cha siasa bali juhudi binafsi na kujituma. Jiulize utaifanyia nini Tanzania na sio Tanzania ikufanyie nini.Zinduka.

Na wale wezi wanaochaota fedha za umma (ESCROW, EPA, RICHMOND, MEREMETA, DEEPGREEN FINANCE, UFISADI WA BOMBA LA GESI, etc) wao watajiuliza nini?
 
Huna jipya, wewe wimbo wako ni escrow tu? jitume acha kuweweseka.
 
kwa hiyo tuwaache wezi watafune fedha zetu huku tukijituma kuwatafutia fedha zaidi ili waendelee kutafuna? you must be LUNATIC dude!
 
you're more than lunatic! think big, dick head.
 
Ni kweli hata CCM madiwani wanasema maji ya ubungo ni siasa wanajaribu kutafuta njia Mnyika ashindwe. Pesa ya Ubunge haitatosha kuvuta maji kutokea Pwani au Tanga mpaka Dar! Wabunge wanasaidia kwenye kushinikiza tu lakini serikali na mashirika ya misaada kama World Bank na nchi kama Japan ndizo zinatoa misaada ya miradi kama hii. Hata hayo madaraja mengi kwenye picha ni pesa ya Marekani Millennium Fund na serikali haigusi hiyo pesa na umeme vijijini ni hivyo pia sio serikali ni msaada wa marekani na wanatumia Millennium fund kwasababu ya kukwepa rushwa. Hivyo kama siyo m saada pale Dar kunasiasa sana hata barabara ya Mwenge-Tegeta haijajegwa na serikali ni Japan ndiyo wamejenga bila kusaidiwa na serikali
 
Back
Top Bottom