Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,835
- 50,523
😅😅😅Mmeweka picha zake mpaka kwenye pikipiki Kwa maelfu lakini mikutano ya CHADEMA inawapelekesha na kuwapa kihoro.
Mna viongozi wote wa Serikali za mitaa, wabunge na Rais na ziada ya mabango, lakini mikutano ya CHADEMA inawapa wazimu!
Mnataka muwe na nini ili muwe imara?
Hili nalijua kwa hakika litatokea. Sijui ni lini lakini ni very soonKilichobakia kwa sasa ni kutoka tu madarakani.
Bado upo jamii forum unaandika kwa kweli nyie ndio mnamdhaihaki lissu na kumng'ong'a!Mmeweka picha zake mpaka kwenye pikipiki Kwa maelfu lakini mikutano ya CHADEMA inawapelekesha na kuwapa kihoro.
Mna viongozi wote wa Serikali za mitaa, wabunge na Rais na ziada ya mabango, lakini mikutano ya CHADEMA inawapa wazimu!
Mnataka muwe na nini ili muwe imara?
We mwenyewe choo kimekushinda kwa kuvimbiwaBado upo jamii forum unaandika kwa kweli nyie ndio mnamdhaihaki lissu na kumng'ong'a!
Siongei bali naandika!Bado upo jamii forum unaandika kwa kweli nyie ndio mnamdhaihaki lissu na kumng'ong'a!
Kwani nani kaandika umesema!Siongei bali naandika!
Sasa unashangaa kinachofanyika? Hapa JF si tunaandika wewe kinachokushangaza ni nini kuona Bado naandika?Kwani nani kaandika umesema!
Mikutano hiyo inahatarisha uwepo wao madarakani,japo MKURUGENZI WA TUME YA UCHAGUZI ni mteule wa RAIS ambaye ni MWENYEKITI WA CCM TAIFA.Mmeweka picha zake mpaka kwenye pikipiki Kwa maelfu lakini mikutano ya CHADEMA inawapelekesha na kuwapa kihoro.
Mna viongozi wote wa Serikali za mitaa, wabunge na Rais na ziada ya mabango, lakini mikutano ya CHADEMA inawapa wazimu!
Mnataka muwe na nini ili muwe imara?
Na bado mikutano ya CHADEMA inawapa kiwewe muda wote wana ugili gili!Mikutano hiyo inahatarisha uwepo wao madarakani,japo MKURUGENZI WA TUME YA UCHAGUZI ni mteule wa RAIS ambaye ni MWENYEKITI WA CCM TAIFA.
Kwa wale wanaosoma historia; watagundua kwamba hakuna utawala unaodumu milele! Ilikuwepo dola ya Kirumi, utawala wa makaburu, utawala wa Wanazi kule Ujerumani, utawala wa Wajapani kwa Wachina, Wakoloni waliokuja Afrika na maeneo mengine, nk! Tawala zote hizi kwa sasa zimebakia tu kuwa ni historia.Hili nalijua kwa hakika litatokea. Sijui ni lini lakini ni very soon
Hi mbeleko na ina zamuu hii lazima muiharee nahao njagu wenuBado upo jamii forum unaandika kwa kweli nyie ndio mnamdhaihaki lissu na kumng'ong'a!
CCM ni chama dhaifu sana na hadi sasa kinapumulia mabavu ya nguvu za vyombo vya dola. Uungwaji mkono wa kiwango kikubwa mno ulioonyoshwa na wananchi katika Kanda mbili za Nyasa na Kusini umewaogofya sana CCM ambao siku zote wamekuwa wakihubiri kuwa Chadema imekufa. Vitendo vya kinyama vilivyofanywa na polisi jana jioni na leo mchana vimempaka matope sana Samia kinyume cha anavyoaminishwa na chawa wake kuwa bunduki na mabomu ya polisi ndiyo zinaimarisha utawala wake wa kiimla.Heri Dikteta mwanaume kuliko dikteta mwanamke anayeungwa mkono na chawa.Mmeweka picha zake mpaka kwenye pikipiki Kwa maelfu lakini mikutano ya CHADEMA inawapelekesha na kuwapa kihoro.
Mna viongozi wote wa Serikali za mitaa, wabunge na Rais na ziada ya mabango, lakini mikutano ya CHADEMA inawapa wazimu!
Mnataka muwe na nini ili muwe imara?
Mtakubali tuBado upo jamii forum unaandika kwa kweli nyie ndio mnamdhaihaki lissu na kumng'ong'a!
Nishakubali kuwa wewe ni muoga!Mtakubali tu
Bado upo unaandika...Hi mbeleko na ina zamuu hii lazima muiharee nahao njagu wenu