CCM mnapiga kampeni za nini? Mnashindana na nani?

CCM mnapiga kampeni za nini? Mnashindana na nani?

Hawa ndugu zangu nawashangaa sana, wanajua kabisa kwa majimbo yote 3 yanayorudiwa uchaguzi kungekua na uchaguzi huru na wa haki wasingeambulia jimbo hata moja. Sasa wanazunguka kupiga kampeni ili washindane na nani? Mpinzani amejitoa, sasa sijui kwenye karatasi ya kupigia kura kutakua na sura ngapi. Wangejiamulia tu waweke kura ya ndio na hapana basi!

Nilikua natazama ufunguzi wa kampeni zao kule Longido, haloo watu hakuna.Peoples are so very demoralized! Utawaonea aibu aisee!!
Hata wewe watu tunakushangaa! Kwanini usingekaa kimya na kuendelea kugomea uchaguzi kuliko kulia lia kama mwanamke aliechukuliwa mumewe?
 
Kweli mbowe amewashikia akili wafuasi mnataka kushiriki uchaguzi yeye amegoma heri ya wale wa singida kskzni walioamua kujilipua!
 
Wanapoteza pesa buree...wangemwambia Kailima....atangaze tu maana hakuna ataeenda kwenye uchaguzi tena!! Acha wapeane tu na kutangaza....Kailima na Kipilimba wote kitengo walienda NEC kuchakachua...wamefanikiwa na wamepewa walivyopewa....wengine ndio hao hao TISS....etc!! Kuna haja gani ya kushiriki uchaguzi??....kama wazee wa kuiba kura na manipulate wanawekwa kila sehemu?? Haina maana.....watangaze tuu...
 
All in all hatari iliyopo ni pale watendaji wanaweza kuvunja sheria bila woga.
Yani kwa sasa watu wanaogopa mtu na sio sheria tena.
Mtu anaamua anavunja na kukiuka sheria za u haguzi na kanuni za uendeshaji wa mfumo wa vyama vingi.
Msimamizi wa uchaguzi hajali tena sheria anachojali ni nani anayeweza kusitisha kibarua chake tu.
Nchi inajiendesha kwa watu kulinda kibarua na maslahi yao ni hatari kwa ustawi wa nchi hiyo.

Badala ya wakuu wa idara mbali mbali kusimamia na kutimiza majukumu yao kisheria wanachofanya ni kulinda vibarua vyao na maslahi yao.

Matokeo yake hata Wapinzani nao wameiga mtindo wa CCM wa kuangalia maslahi ya viongozi tu na sio wananchi wanataka nini!!
 
Ndio maana wameamua kuweka picha za 2015 kwenye mapicha picha yao ya kampeni !!
 
Wanapoteza pesa buree...wangemwambia Kailima....atangaze tu maana hakuna ataeenda kwenye uchaguzi tena!! Acha wapeane tu na kutangaza....Kailima na Kipilimba wote kitengo walienda NEC kuchakachua...wamefanikiwa na wamepewa walivyopewa....wengine ndio hao hao TISS....etc!! Kuna haja gani ya kushiriki uchaguzi??....kama wazee wa kuiba kura na manipulate wanawekwa kila sehemu?? Haina maana.....watangaze tuu...
Ulikuwepo kura zinavyoibwa au ulisikia kwa jiran yako?
 
Back
Top Bottom