CCM mnapiga kampeni za nini? Mnashindana na nani?

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Hawa ndugu zangu nawashangaa sana, wanajua kabisa kwa majimbo yote 3 yanayorudiwa uchaguzi kungekua na uchaguzi huru na wa haki wasingeambulia jimbo hata moja. Sasa wanazunguka kupiga kampeni ili washindane na nani? Mpinzani amejitoa, sasa sijui kwenye karatasi ya kupigia kura kutakua na sura ngapi. Wangejiamulia tu waweke kura ya ndio na hapana basi!

Nilikua natazama ufunguzi wa kampeni zao kule Longido, haloo watu hakuna.Peoples are so very demoralized! Utawaonea aibu aisee!!
 
Mnalia lia nini nyie, si mmejitoa. Mbona bado mnawashwa? Tulieni wenzenu wachukue ushindi wa kishindo.
 
Mbali na haya majimbo na hizo kta a 2020 wagome tena km walivyofanya visiwani,
 
Hawa ndugu zangu nawashangaa sana, wanajua kabisa kwa majimbo yote 3 yanayorudiwa uchaguzi kungekua na uchaguzi huru na wa haki wasingeambulia jimbo hata moja. Sasa wanazunguka kupiga kampeni ili washindane na nani? Mpinzani amejitoa, sasa sijui kwenye karatasi ya kupigia kura kutakua na sura ngapi. Wangejiamulia tu waweke kura ya ndio na hapana basi!

Nilikua natazama ufunguzi wa kampeni zao kule Longido, haloo watu hakuna.Peoples are so very demoralized! Utawaonea aibu aisee!!
Mkuu juzi nilipita Longido na Ordonyo watu wanahasira na ccm hatari
 
Hawa ndugu zangu nawashangaa sana, wanajua kabisa kwa majimbo yote 3 yanayorudiwa uchaguzi kungekua na uchaguzi huru na wa haki wasingeambulia jimbo hata moja. Sasa wanazunguka kupiga kampeni ili washindane na nani? Mpinzani amejitoa, sasa sijui kwenye karatasi ya kupigia kura kutakua na sura ngapi. Wangejiamulia tu waweke kura ya ndio na hapana basi!

Nilikua natazama ufunguzi wa kampeni zao kule Longido, haloo watu hakuna.Peoples are so very demoralized! Utawaonea aibu aisee!!
Zanzibar CUF walijitoa CCM wakashinda kwa Kishindo. Kenya NASA walijitoa JUBILEE wakashinda kwa Kishindo. UKAWA wamejitoa CCM watashinda kwa Kishindo. Kususia uchaguzi hauwajawahi kuwa suluhisho zaidi ya kumpa nguvu zaidi mshindi hata kama wapiga kura walikuwa walikuwa wachache Kama ilikuwa Kenya.
 
Ccm imechokwa sana ndg yangu, kinachowabeba ccm kwa sasa ni ubovu wa katiba iliyopo ambayo imeweka mifumo mibovu ya muundo wa jeshi la Polisi, Mahakama, na Tume ya uchaguzi ambavyo vyote hivi vinatii maagizo kwa mwenyekiti wa chama tawala, jambo linaloondoa uwanja sawa wa kufanya siasa kati ya vyama pinzani na chama tawala na matokeo yake jeshi la Polisi+Tume ya uchaguzi na Mahakama kwa upande mwingine+ccm vinaweka nguvu moja kupambana na vyama shindani, iwe kwa amani au kwa kumwaga damu za watu ili mradi ushindi kwa njia yoyote ile upatikane bila kujali matokeo hasi ama chanya kwa jamii husika.
 
Back
Top Bottom