CCM- Mnacho kifanya sio kitu kizuri! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM- Mnacho kifanya sio kitu kizuri!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Domenia, Oct 24, 2009.

 1. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Samaki wa magufuli mmewakamata..hadi leo hakuna faida yeyote!! Gharama za kuawatunza...Kuna faida gani hapo?

  Gharama Tuna so pata sasa Kuzalisha umeme!! kwa siku inatosha ku nunua Solar pannel nyingi kila siku!!..

  Hivi kweli mnajua mnayo yafanya?

  sio!!

  Nimechoka maisha yanazidi kua magumu!!
   
 2. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hata kama inafikirika sio gharama-lakini hizo gharama kwanini zisipelekwe kwenge miradi muhimu!! kuliko kila kitu kutumika kwenye zima moto!!
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  nimecheka kwa uchungu mkubwa sana juu ya hili!
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,026
  Likes Received: 23,830
  Trophy Points: 280
  Lazima ucheke bwashee kwa kuwa si engo yako. Kweli CCM yajenga nchi!
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hehehe!bwashee haya mambo yanaudhi sana.lakini kama ulivyosema sio engo yangu!
   
 6. GP

  GP JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  maeneo haya huwa napita nascrol scroll kimtindo then huyooooo nasepa!, hukawii kuambiwa THIBITISHA!!
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Inajenga nchi ama inabomoa

  imeshabomoa kila sehemu ...wanalazimisha kuziba ufa kitu ambacho hakiwezekani
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  teh teh teh thibitisha wakati mwenye macho haambiwi Tazama
   
 9. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,400
  Likes Received: 680
  Trophy Points: 280
  Mimi kinachoniudhi ni kwamba kila siku tunalalamika juu ya hii serikali ya ccm,lakini zikitokea chaguzi tuu,wanarudi hao hao madarakani,hapa tunapaswa tumsake mchawi,nahisi humuhumu ktk wapinga ccm kuna wanafiki wanaotugeuka kipindi cha uchaguzi,haiwezekani robo tatu ya watanzania waone uovu unaofanywa na hawa watu alafu waendelee kututawala tuu,tuache unafiki,mapinduzi ya kweli ndio ngao yetu!!
   
 10. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Wana mbinu za kisasa za wizi wa kura
   
 11. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dhibitisha....

  Tatizo letu shule empty...
   
 12. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  unaionea sisiemu bwana,wanaofanya ndivyo ni viongozi wachache tu wa chama sio wote,yaani mchungaji mmoja akiharibu basi ndio kanisa zima limeharibu?
   
 13. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Si ajabu mtu akakosa msosi nyumbani kwake kwa uvivu wake akaanza kutoa lawama kwa CCM
   
 14. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Ni kweli sisi m yajengua nchi!
   
 15. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Na wakiiba tulaumu au tusilaumu?
   
 16. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kwanini waibe ilhali kuna nafasi tele za kujiajili? Wizi ni mojawapo ya dalili za uvivu wa kutofanya kazi.
   
 17. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo wale wote wanaoongoza wizi wa kura ndani ya Chama chako ni wavivu wa kutofanya kazi?! basi nimeshajua kwa nini sisi m imejaa watu wengi wanaoiba kura na mipesa ya watanzania! RA, EL, Chenge and ........
   
 18. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kua na Adabu!! Please!! acha dharau...
   
 19. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  (((-alie kutuma humu jf hajui kwamba hujui-)))
   
 20. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ccm ni kama mwanga, mchana anajifanya bonge la mshkaji lkn usiku anakuwangia i hate this thing called ccm.
   
Loading...