Simiyu Yetu Sumu Mingoi ZeMarcopolo Ritz FaizaFoxy chama Lizaboni ....nk
Ni kweli hamtashiriki?..Mbona alikuwa mtiifu katika chama??
CC: Godbless LemaSasa watatoa tamko gani kuhusu kifo cha mabina,wanaelewa before alikuwa jambazi sugu.akataka akumbushie kazi yake ya awali kwa wapiga kura wake
Ni jambo la kiungwana kwa CCM kujitenga na suala la Mabina.Wanajamvi heshima kwenu,
Katika hali isiyo ya kawaida chama tawala kimekuwa kimya sana tangu kifo cha kada wake, diwani wa Kisesa, Clement Mabina. Wanajamvi kuna yeyote ameshatoa tamko rasmi (msemaji wa chama) kuhusiana na hili? Tumezoea sana kupata taarifa rasmi kupitia kwa Katibu Mwenezi kwenye vyombo vya habari, kupitia kwenye mitandao na blog mbalimbali hususan ya Michuzi kila mara kunapokuwa na jambo linalohusu viongozi wa chama tawala. Mmepata kigugumizi gani? Ama mnafikiri kwa kukaa kimya tutasahau?
Duu,
Mkuu nimekuwa bwana mdogo?
Ninafikiri kiumri ni mmoja wa wanajamvi wenye umri mkubwa humu JF.
Shahada yangu ya kwanza niliipata mwaka 1981 UDSM, sina haja ya kueleza nina shahada ngapi mpaka sasa wala wasifu wangu hauna haja ya kuanikwa humu jamvini. Mahali panapohusika na kwa wanaonifahamu wanajua hayo.
Nimekusamehe bure mkuu...
Simiyu Yetu Sumu Mingoi ZeMarcopolo Ritz FaizaFoxy chama Lizaboni ....nk
Ni kweli hamtashiriki?..Mbona alikuwa mtiifu katika chama??