CCM mayday mayday

Tukisema mama mitano tena maana yake ni mitano tena ya kusombwa na Malory, mitano tena ya kifo ni kifo tu, mitano tena ya kuwa na rais aliyeamua kuwa chura kiziwi huku akiuza bandari zetu.
 
Ni dhambi sana, kwanini wanawabeba kama ng'ombe wanaopelekwa mnadani? Wawakodishie mabasi yanayoenda mikoani tu. Ila kujitambua ni kuzuri sana, hawa wangejitambua wasingekubali huu ujinga. Wamepauka, wanapewa khanga, t-shirt imeongezeka baiskeli tayari wameuza haki yao ya miaka 5.
 
Chanjo ya mifugo na utambuzi, kudadekiπŸ˜‚πŸ˜‚

Maskini hawa wanaosombwa hivi hawajui kuwa wakifa wanaitwa mbuziπŸ˜€
 
Jana walipokufa Machawa wakawakana wakasema walitoka kwenye chanjo ya mifugo na utambuzi, imagine mtu kafa na sare ya kijani wanamkanaπŸ˜‚
 
Jana walipokufa Machawa wakawakana wakasema walitoka kwenye chanjo ya mifugo na utambuzi, imagine mtu kafa na sare ya kijani wanamkanaπŸ˜‚
Inasikitisha sana, tena mtaji wao ni hawa wa vijijini ona wanavyobebwa kama mifugo. Hao mafisi unafikiri wana aibu? Mishipa ya aibu ilishakatika, wanawakataa vipi na wenzao majeruhi, wamesema walipokuwa wanapelekwa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… fisiem ni vichaa waliotoroka mirembe.
 
Raia hawajui kama wanaitwa mbuziπŸ˜‚
 
Fukushima mama mitano tena maana yake ni mitano tena ya kusombwa na Malory, mitano tena ya kifo ni kifo tu, mitano tena ya kuwa na rais aliyeamua kuwa chura kiziwi huku akiuza bandari zetu.
Your browser is not able to display this video.
 
hauna picha zingine za zaman zaidi ya hizi
 
Kuna wakati fulani watu waliyoa ubwabwa kama shukrani ila waliita takrima. Mahakama ikasema ni Rushwa. Sasa sijui vitenge, pikipiki, na Sasa baiskeli tutaipa jina gani.
 
Shida siyo CCM shida ni wananchi!
Ujinga ni adui ambaye bado tumeshindwa kumtoa katika Taifa letu.
 
Natamani Na Naamini Mungu Akitujalia Afya Ya Mifupa,,,Damu Na Nyama Tuje Kuonana Hata Isipo Kuwa Hivyo...Una Utu Sana...Na Haki Bila Kuanza Na Utu Ni Upuuzi Na Ukiritimba Mtupu......✊✊###Utu Na Kazi Tunasonga Mbele###
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…