Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,579
- 2,908
how?!NI ANGUKO KUBWA SANA KUTOKA AWAMU YA SITA KUJA KUWA AWAMU YA NNE
how?!NI ANGUKO KUBWA SANA KUTOKA AWAMU YA SITA KUJA KUWA AWAMU YA NNE
Nendeni tu NCCRNI ANGUKO KUBWA SANA KUTOKA AWAMU YA SITA KUJA KUWA AWAMU YA NNE
HowCCM IS A CARTEL OF CRIMINALS
Wewe dada hebu kuwa na adabu,hata mumeo unamkosea hesha hivi ,ebo?Majizi namba moja ni Zito kabwe, Makamba, Nape na Mbowe
Huyo kahaba kazi yake kutukana tu nani amheshimu?Mkuu unaheshimika sana hapa, hii haiko sawa,Unapotosha
😂😂😂Wewe dada hebu kuwa na adabu,hata mumeo unamkosea hesha hivi ,ebo?
Nani katumbuliwa na mfumo au kawajibishwa na watu?Wacha niseme kidogo,
Kama kuna mtu ameachia mifumo ifanye kazi kwa uwazi na kutokumuonea mtu ni huyu Rais Samia,
Kitendo hiki kinawafanya wananchi wenyewe wawajibishane katika levels zao,
Kutumbua mtu sio jambo la kujisifu ila mifumo ikimtumbua atakuwa amepata haki yake,
Hongera sana Mama Samia,
Mmh inategemea maana kwa kumbukumbu yangu Ila mipasho kwa ****** ilikua udhalilishai japo hajafikia level ya jiweKiongozi, tumbua tumbua zipo nyingi sema tofauti ya Sasa na kipindi Cha magufuli Ni kuwa mama hadhalilishi, utaskia tu mh rais ssh afanya mabadiliko sekta/kitengo flani
Ila kipindi Cha magu ilikuwa inaoneshwa hadi alipokuwa anamhoji mhusika, Sasa ule syo ustaarabu maamuzi km yale hayafai kwa kiongozi anaejitambua na mwenye maadili ya utumishi
Tukubali tu kazi ya mama ni kubwa sana,Mmh inategemea maana kwa kumbukumbu yangu Ila mipasho kwa ****** ilikua udhalilishai japo hajafikia level ya jiwe
wakurugenzi wangapi hawako kazini?Nani katumbuliwa na mfumo au kawajibishwa na watu?
Maana mama Samia yeye mwenye kishatumbua wakurugenzi zaidi ya 6 hadi sasa
Kazi gan?Tukubali tu kazi ya mama ni kubwa sana,
Hili swali si ulipaswa ww uwe na jibu? Maana umesema mfumo unawaondoa kitu ambacho sio kweli.wakurugenzi wangapi hawako kazini?
Unajua uchungu wa kufukuzwa kazi?Hili swali si ulipaswa ww uwe na jibu? Maana umesema mfumo unawaondoa kitu ambacho sio kweli.
Yeye mwenye alipokua akienda Musoma, alisimama barabarani na kutumbua wakurugenzi
Kamkumbatia, nani?Wasimchukulie poa mara ngapi? Ameamua kuwakumbatia ngoja wamnyoshe tu
DaaahMajizi namba moja ni Zito kabwe, Makamba, Nape na Mbowe